Wadaiwa sugu wa bodi ya mikopo elimu ya juu

Mjanga

JF-Expert Member
Feb 13, 2011
1,238
324
Kuna majina ya wadaiwa wa Bodi Ya Mikopo yamewekwa kwenye mtandao wa Bodi hiyo, cha kushangaza ni ubabaishaji wa watendaji wa taasisi kubwa na nyeti kama hiyo, kuonesha dhahiri kuwa hawana data kamili ya wadaiwa ambao hawajaanza kurudisha kabisa, wale ambao wanaendelea kurudisha, na wale ambao wameshamaliza madeni yao! baada ya kuyapitia majina hayo inaonekana wameorodhesha watu wengi ambao either wanaendelea kulipa ama wamemaliza kulipa wakiwaacha watu wachache sana!

Ni haibu kubwa kwa taifa, jinsi viongozi wetu wanavyobabaisha kazi! alafu wametoa mikwara kibao ya KIJINGA mno! Huyu Mkurugenzi Nyatega, ameshindwa kazi, kwanini asirudi kule kwao Rorya AKAVUE SAMAKI,
MANAKE hana lolote!

NCHI IMEOZA, KIASI KWAMBA, KILA KUKICHA KILA KIONGOZI ANAIBUKA NA LAKE BAADA!
 
Nimemaliza kulipa ila nashangaa jina bado lipo wakati kamkopo kenyewe kalikuwa 3m tuu sijui watakuwa wamenibambikia na kengine.
Its watutumie kiasi cha mkopo,repayment statement na balance kwa kila mtu maana wanadhani tuna ela za mchezo
 
Hapo umenena la msingi mkuu. Statement zitasaidia sana la sivyo hawa jamaa wanataka kuvuna bila kupanda
 
Tatizo sio wadaiwa sugu bali haukuwepo mfumo mzuri wa ukusanyaji. Hebu fikiria bodi ilianzishwa 2004 na wanaodaiwa ni wale waliosoma kuanzia mwak 1994.
Naona orodha yao imemwandika kila aliyesoma kipindi hicho, hiyo hela isije kuishia kulipa madalali walikodiwa kukusanya maden; 1994 mkopo ulikuwa Sh. 365,000 pekee.
 
Nimemaliza kulipa ila nashangaa jina bado lipo wakati kamkopo kenyewe kalikuwa 3m tuu sijui watakuwa wamenibambikia na kengine.
Its watutumie kiasi cha mkopo,repayment statement na balance kwa kila mtu maana wanadhani tuna ela za mchezo

Mkuu kwa utendaji wa ofisi zetu, ni vyema ukafika mwenyewe pale bodi na kuomba hizo statement (au wasiliana nao kwa namna yoyote; ila napo sijui kama utapata majibu). La sivyo utabambikizwa deni lisilo lako. Walitaka kunibambikizia deni, lakini nikawashtukia mapema. Hivyo nikafika pale bodi na kuomba maelezo ya ziada pamoja hizo statement, na mambo yakawa sawa.
 
yani mnalipa halafu zinaliwa?
Msilipe, kama unajisikia kuilipa hiyo hele, tafuta kijana aliyekosa mkopo chuo, mlipie wewe asome. Utapata dhawabu kwa mungu.
 
Hawa jamaa wababaishaji sana, mimi niliwahi kufika, nikaomba statement..mara nenda Room#37 mara 35
upuuzi mtupu!na hizo tunazolipa ndo wanagawana, kwa kulipa majina hewa! rubish!
 
ni kweli mkuu! sijui baadhi ya wasomi wa kitanzania ni wa aina gani?
au ndo wale wa madesa, na zile digrii za katikati ya Mapaja..kwa utendaji huu
mpaka Marehemu atanyimwa pasi.. sijui ya kuingilia mbinguni!?
Tatizo sio wadaiwa sugu bali haukuwepo mfumo mzuri wa ukusanyaji. Hebu fikiria bodi ilianzishwa 2004 na wanaodaiwa ni wale waliosoma kuanzia mwak 1994.
Naona orodha yao imemwandika kila aliyesoma kipindi hicho, hiyo hela isije kuishia kulipa madalali walikodiwa kukusanya maden; 1994 mkopo ulikuwa Sh. 365,000 pekee.
 
Nililitegemea hili kutokea yaani utendaji wa taasisi nyingi za serikali ni za kinyani kabisa hazipaswi kufanywa na bin adam,

data hawana ukienda pale mara muone mr mkuya mara kamachumu ukiwaona hao nao uozo mtupu

hawana wanalolijua,
 
Hili Suala la kuweka riba wamelitoa wapi? Hivi kuna mikataba waliyoandikishana na wanafunzi kwamaba baada ya muda fulani watawatoza riba? Nyie si munawakuta pale ofisini kwao, kuna watu watawaita mahakamani.
 
usanii ni hapo kuna makampuni binafsi ya kukusanya hizo hela. serikali imeshindwa kukusanya enyewe...inayalipa makampuni yafanye kazi hiyo.
 
Jamani tujuzane bodi tunatakiwa kuwalipa mkopo wote au ni tuition fee pekee?kwa wale waliopata repayment statement toka bodi wa2juze pliz
 
Tatizo sio wadaiwa sugu bali haukuwepo mfumo mzuri wa ukusanyaji. Hebu fikiria bodi ilianzishwa 2004 na wanaodaiwa ni wale waliosoma kuanzia mwak 1994.
Naona orodha yao imemwandika kila aliyesoma kipindi hicho, hiyo hela isije kuishia kulipa madalali walikodiwa kukusanya maden; 1994 mkopo ulikuwa Sh. 365,000 pekee.

Hapana haukuwa 365,000 ni around 265,000!! Na je ulikuwa na interest?
 
Kuna majina ya wadaiwa wa Bodi Ya Mikopo yamewekwa kwenye mtandao wa Bodi hiyo,
cha kushangaza ni ubabaishaji wa watendaji wa taasisi kubwa na nyeti kama hiyo,
kuonesha dhahiri kuwa hawana data kamili ya wadaiwa ambao hawajaanza kurudisha kabisa,
wale ambao wanaendelea kurudisha, na wale ambao wameshamaliza madeni yao! baada ya kuyapitia
majina hayo inaonekana wameorodhesha watu wengi ambao either wanaendelea kulipa
ama wamemaliza kulipa wakiwaacha watu wachache sana!
ni haibu kubwa kwa taifa, jinsi viongozi wetu wanavyobabaisha kazi!
alafu wametoa mikwara kibao ya KIJINGA mno!
Huyu Mkurugenzi Nyatega, ameshindwa kazi, kwanini asirudi kule kwao Rorya AKAVUE SAMAKI,
MANAKE hana lolote!
NCHI IMEOZA, KIASI KWAMBA, KILA KUKICHA KILA KIONGOZI ANAIBUKA NA LAKE BAADA!

Hela yao niliyokopa wakachukue TRA!!
 
Ingia Welcome to HESLB. utaona orodha ndefu chagua kategori ya mwaka uliyomaliza chuo then ukibonyeza
yaan Click utayaona majina meeeeeeeeeeengi, likiwemo na la kwako!
kuna kipindi tuliazima watendaji toka S/A kumanage TANESCO,
kwani ni vibaya tukiazima Rais wa CHINA aje atunyongee hawa wanaharamu!

Leteni orodha basi,website yao siyaoni majina.
 
Ivi kwa nini kila kitu sisi tuko nyuma?
Labda we are good in doing sex!
As ukienda kwa ofisi yao pale its as if kila mtu mgeni ni full kuzungushwa.
Sasa unaandika kumdai mtu akikufuata umwambie unamdai kiasi gani kimyaaa.Nyambafu
 
Back
Top Bottom