Wadada wenye maumbo mazuri kwa asilimia kubwa wakikutana na mwanaume huhisi kutongozwa tu

upo kama mimi mkuu...Kwenye sura mbuzi weka mbuzi ,penye shobo weka shobo siyo kila sehemu unaongea kama Tongozo ....

Tena mimi zile za ""maambooooo mrembo"
"" mzima mamy ""

Wakati uko unataka huduma za chapu ,ndo mana wanawajibu kwa maringo na dharau

Ni mwendo wa "habari za kazi nina shda ABC"" ,nimemaliza

#Tozokubwa
#umeme shda
#maji usiseme
#Jotokali
#Ajali kibao
#Riba za mabenki ziko juu
#Wamachinga out
#Vifurushi Juu

HONGERA CCM MNAUPIGA MWINGIIIII
Hashtag konki sana Mzee baba
 
Nimesoma comment za wanaume wezangu hadi nimeskia uchungu,wanatia huruma sana.yaani wanaume tumekua soo weak kwa vitu vya kawaida.hawajiamini pia wanashobo ambazo hazina mpango pia hawawezi kuhandle beautiful women ndio maana hawawapati kwa sababu ya approach zao mbovu.

Ongeza sauti tafadhal
Ili wasikie wote mkuu.
 
Kuna siku nilitembelea benki fulani, kwa ajili ya kupata utaratibu wa kupata mkopo kwa ajili ya biashara yangu. Kwa bahati nzuri nilipokelewa na mdada, ni mzuri na anashepu ya kuvutia, nyuma amejaziwa kweli. Akanihudumia, na akanipatia namba yake kwa ajili ya kufuatilia.

Cha ajabu, nilipokuwa nampigia simu inaweza kuita muda mrefu bila kupokelewa, na akipokea anaongea kwa mapozi kama vile nataka kumtongoza. Nikawa najiuliza, namba anipe mwenyewe kwa ajili ya mawasiliano ya kiofisi, sasa inakuwaje analeta manjonjo kwenye mawasiliano?

Nikahisi, inawezekana labda kutokana na alivyoumbika anahisi kila mwanaume anataka kula tunda kimasihara.

Nilivyofanikisha mzigo wangu, ikabidi nifute na namba yake.

Kiungo cha ajabu na thamani kubwa kwa mwanamke ni Chuchu Dodo, utamu wa Sura, Matako ni matokeo ya kawaida sana sio booster kivile. Umkute fundi ana sura, chuchu na ushirikiano, full magenye na time na network la kutosha ndio utajua bikra za kiume huwa haziishi.
 
Kuna mama mmoja hivi nae ana mtako alikuwa Tanesco maeneo ya Liwiti, tulinunua umeme wa elfu 30 ila ukiingiza mita ina kataa.

Nikaenda 1 na nusu nipo pale kufika ni kaambiwa muhusika hayupo, nikaa kumsubiria mpaka tatu kasoro, huyo ana ingia na gari lake nikampa robo ajipange kwenda akaniambia subiri ninywe chai ni kakaa nusu saa ni kaenda tena ni kamkuta bado anapiga mchemsho wa kuku. Nikasubiri tena,naenda mida ya saa nne kasoro akaniambia internet hamna.

Nimekaa sana cha ajabu pembeni kulikuwa na mama mmoja kafunga ushungi kazungukwa na watu wengi ana wahudumia. Nimeenda tena saa tano akaniambia mtandao hamna, sasa sita jibu lile. Saa saba nika ingia yule alivyo niona yule mama mwenye ushungi nahisi alinionea huruma, japokuwa alikuwa na watu anawahudumia. Akaniambia njoo mwanangu nika mweleza tatizo langu,aka ni saidia ndani ya dk tatu ni kaondoka zangu.

Sasa kuna mwanangu yy ni kishoka anaendaga sana ktk hiyo ofisi ni kawa na msimulia, akaniambia kuna meneja mmoja wa kanda ana mgonga huyo mama (nyumba ndogo).Ukiongea nae sauti anaitolea puani.
 
Kuna mama mmoja hivi nae ana mtako alikuwa Tanesco maeneo ya Liwiti, tulinunua umeme wa elfu 30 ila ukiingiza mita ina kataa.

Nikaenda 1 na nusu nipo pale kufika ni kaambiwa muhusika hayupo, nikaa kumsubiria mpaka tatu kasoro, huyo ana ingia na gari lake nikampa robo ajipange kwenda akaniambia subiri ninywe chai ni kakaa nusu saa ni kaenda tena ni kamkuta bado anapiga mchemsho wa kuku. Nikasubiri tena,naenda mida ya saa nne kasoro akaniambia internet hamna.

Nimekaa sana cha ajabu pembeni kulikuwa na mama mmoja kafunga ushungi kazungukwa na watu wengi ana wahudumia. Nimeenda tena saa tano akaniambia mtandao hamna, sasa jibu lile. Saa saba nika ingia yule alivyo niona yule mama mwenye ushungi nahisi akanionea huruma, japokuwa alikuwa na watu anawahudumia. Akaniambia njoo mwanangu nika mweleza tatizo langu,aka ni saidia ndani ya dk tatu ni kaondoka zangu.

Sasa kuna mwanangu yy ni kishoka anaendaga sana ktk hiyo ofisi ni kawa na msimulia, akaniambia kuna meneja mmoja wa kanda ana mgonga huyo mama (nyumba ndogo).Ukiongea nae sauti anaitolea puani.
Hatari sana
 
Back
Top Bottom