Wadada wenye maumbo mazuri kwa asilimia kubwa wakikutana na mwanaume huhisi kutongozwa tu

Vijana mna makasiriko sana na pisi kali shida ni nini? Ni inferiority complex inawasumbua au nini?

Mtu akishajua anavutia wanaume wengi lazima aweke ukuta akikutana na mwanaume anaeona anamtolea macho jamani na ni kawaida. Wanawake wenye muonekano wa kawaida tu huwaga wanaweka vizingiti ndo iwe anaejua asilimia kubwa wanamtamani?

Nimesoma comments nimegundua wengi mnawekaga mazingira ya mtongozo mkiona mdada haelekei mnaanza kujihami oooh alidhani nitamtongoza blah blah.

Halafu muache uoga kwa wadada wazuri hata wakiwavimbia mtaona kawaida tu hamtalinganisha kuvimba kwake na muonekano wake.
 
Hawa wanaume wanachekesha sana. Ukimsemesha vizuri anahisi akikutongoza utamkubalia. Wanasemaga unajichekesha kwake.
Wasitusumbue. Wambuzi kwenda mbele.
 
Vijana mna makasiriko sana na pisi kali shida ni nini? Ni inferiority complex inawasumbua au nini?

Mtu akishajua anavutia wanaume wengi lazima aweke ukuta akikutana na mwanaume anaeona anamtolea macho jamani na ni kawaida. Wanawake wenye muonekano wa kawaida tu huwaga wanaweka vizingiti ndo iwe anaejua asilimia kubwa wanamtamani?

Nimesoma comments nimegundua wengi mnawekaga mazingira ya mtongozo mkiona mdada haelekei mnaanza kujihami oooh alidhani nitamtongoza blah blah.

Halafu muache uoga kwa wadada wazuri hata wakiwavimbia mtaona kawaida tu hamtalinganisha kuvimba kwake na muonekano wake.
Nimesoma comment za wanaume wezangu hadi nimeskia uchungu,wanatia huruma sana.yaani wanaume tumekua soo weak kwa vitu vya kawaida.hawajiamini pia wanashobo ambazo hazina mpango pia hawawezi kuhandle beautiful women ndio maana hawawapati kwa sababu ya approach zao mbovu.
 
Tatizo shobo zimewajaa...."Yaani Mimi binafsi Kama mwanamke yupo mbele yangu Kama Sina ishu nae tunapishana tu"

Na Kama ninauhitaji wa msaada na kukawa na wanawake Basi nikiangaliana nae usoni asipo tabasamu au kunipa welcome face yaani ule mtazamo wa kukalibisha maongezi Basi apite hivi.

Kuna binti nikiwa university alikua ni mkali kweli haswa wanafunzi na malecture walikufa walioza ila Mimi Wala sikua na muda nae Hadi siku akaniuniiliza kwa sauti nyororo na ya uoga " Miles45 kwa Nini haunipendi nilikukosea Nini" hichi kikauli Hadi leo kinatabia ya kujirudia akilini mwangu . Ila ndio hivo nilimkazia akajilegeze Hadi nikala ...alipo kuja kuharibu zaidi kila tukikaa ni kuwasema washikaji jinsi wanavyo mpapatikia na wanavyo hangaika kumpata ...jibu langu lilikua wape tu ili watulie ...akaniona Sina wivu au namuigizia akanitest kuniacha ...akaona Sina muda nae ..akajirudisha kwa Kasi ya 6g ....na kuniomba msamaha akajisamehe mwenyewe na kuendelea kumgonga ..tukaja tukamaliza chuo akaolewa ila Hadi Leo hii nikimtaka hanibanii

Kwa hiyo nawaambia Kama mwanamke hauna kazi nae shobo za Nini ....? Hau jui unajishusha chini na kumfanya akudharau.

Na kingine Kama Kuna group la watu na ikatokea chance ya kuwepo na wanawake Mara Mia nicheze na watoto hapo kuliko kupiga story na wanawake
 
Nimesoma comment za wanaume wezangu hadi nimeskia uchungu,wanatia huruma sana.yaani wanaume tumekua soo weak kwa vitu vya kawaida.hawajiamini pia wanashobo ambazo hazina mpango pia hawawezi kuhandle beautiful women ndio maana hawawapati kwa sababu ya approach zao mbovu.
Ni huruma kwa kweli. Nawaza sana huko mtaani wanadate wanawake wa aina gani kama wanaogopa wanawake wazuri kwa kiasi hiki
 
Back
Top Bottom