Wadada wenye makalio makubwa tumegundua ukweli

Daaah!! Wadada mnakwama wapi lakini?? Hivi huwa mnatafuta nn? Kwann tunaenda kinyume na uumbaji wa mwenyezi Mungu?? Wadada wenye hii tabia au ambao wanafikiria kufanya vitu kama hivi, hebu achaneni jamani!!

Point kubwa ni kuwa tujaribu kubaki katika hali ambayo tumezaliwa nayo, mengine tunajitafutia maradhi tu na laana kutoka kwa mwenyez Mungu!!

View attachment 1178384
Hapo kwenye moto i lost it chaaa
 
Pale dar maeneo ya mbezi mwisho kuna kizahanati cha wachina wapo vzr ukifika hapo ndani ya wiki watu wakikuona hawaamini huo mkia na bei za ni nafuu sana wadada wa mjini wengi wanapita kuelekea hapo.
Nielekeze na mimi nisogee hapo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom