MLEVi Mmoja
JF-Expert Member
- Jun 29, 2019
- 8,466
- 14,882
Eti ni kweli mkiwa uchi mnajiisi huru ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Na uhuru wa mwanamme ni nini
Sent using Jamii Forums mobile app
Na uhuru wa mwanamme ni nini
haya sasa!!Yani mtu gari lake, paja lake, kimini chake, kelele zinakutokaje wewe?
Ulitaka kuvaa kimini wewe?
Sent using Jamii Forums mobile app
Chama cha Wenye Vimini na Magari kishaanza kujibu mashambulizi nini?
Maana sipati picha upige umini halafu ushindwe kupiga jeki maziwa eti yalale, siwezi elewa