Wadada wenye akili, heshima na adabu ni ngumu sana kuolewa dunia ya leo. Ndoa zimebakia kwa micharuko tu

Kuna sifa nyingi za kuolewa hawana , na mojawapo ni unyenyekevu.
 
Na hiyo hali imetamalaki maeneo ya mjini huko vjijini akaa hawana Mambo hayo wao wanachoangalia ni kuzaana tuu
labda vijiji vya wamakonde!! Lkn vingine weee!! Baba anashinda kilabuni na mama akiwa namdogo wake!!! Hawalimi.Hawafugi chochote. Nyumba imetoboka juu ya paa hawzibi.

No commitment kila mwaka wanapewa msaada wa chakula na wana kijiji.

Japo wana shamba lkn linalimwa kidooogo!! Basi!! kituta cha viazi kidoogo. Tumahindi ndani ya meta mbili... Hapooo!!

Hata uzaea mabinti km malaika kamwe hawatachumbiwa pale kijijini. Hata watu wakikuona unatembea nae tu ni msala....yaani nisawa na wachawi.

Umekulia kijiji gani wewe??? Familia za
wachawi.
wezi sugu
walevi sugu.
wavivu.
Wagomvi
Wajinga kupitiliza km matahaila.
Chr.bronchial athma
Ukoma sugu
Njaa kila mwaka
Wasema hovyo
Waliokulana nababa zao
Wenye hare lips.
Wadokozi sugu.
wivu sugu.
husuda sugu.
Wenye visasi vya hovyo
Wasio uvumilivu ndoani.
Wasimbe sugu.tangu shangazi mpaka huko...
Kifafa sugu.
Wapenda ugomvi bila sababu,
Majinga majinga yaso staha.

Bwanawee niseme nini.... Hawa woote.....

Kamwe walikuwa hawaolewi kijijini hapo mpaka leo iko hivo..

wa hivi waliolewa vijiji vya mbali sana huko. Na hawakurudiga mpaka leo mashamba yao yapo yapo tu km marsho ya mifugo !!
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Back
Top Bottom