Wadada wengine kwanini mpo hivi?

MysweetL

JF-Expert Member
Jan 31, 2020
314
340
Anahela nyingi ila unampa unataka ujiaminishie nini?

Anakudharau kisa unamhanya eti mapenzi yake ni matamu?

Unamuita majina ya mapenzi yote na wala hakufagilii, hadi lini lakini?

Hakupigii hakusemeshi hakusaidii wewe kukicha unapeleka kipichu chako tu kwake ukishafanywa single mother basi

Ndio unaanza kulaumu mpaka dunia na una-choice kabisa

Dunia yetu ndio hii chagua mapema mtu sahihi. Ukishaona dalili utakuwa unajua tu huyu sio.

TAKE CARE BI DADA .
 
Ila sio mimi
sawa,unajua mapenzi yana mambo mengi aise,usiombe umpende mtu,mimi nilimpenda mtu ana mshahara mkubwa ananizidi ila nikawa namnulia vitu,hiyo haipo kwa wadada tu,kuna mwanafalsafa alisema Love is a very serious mental disease
 
Ndio umemuoa??
 
You should learn how to make the right choice among sweeters who are coming to you. Failure will lead you to blame all men.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom