Wadada/wanawake upo tayari kukaa bila ku test mitambo mpaka siku yenu ya ndoa?

Hii imezoeleka na sasa hivi imeshakuwa kama kawaida yetu wanaume wote kuambiwa tunapenda kutest mitambo hata kabla ya chochote kile,sawa tumekubali hii kwetu (hasa mimi) kukaa na wewe kama kaka na dada eti nasubiri siku ya ndoa ndio tukwichi kwichi Uvumilivu na ujinga huo sina. Nikae nasubiri siku ya ndoa ifike nije nikute hauna K (mi nitafanyaje).

Haya tutoke huko, leo naomba tu nyie wadada/wanawake muwe wakweli na mseme ile inayotoka chini ya uvungu wa nyoyo zenu, hivi ikitokea ukapata mpenzi (kama mnavyotaka) yule asietaka SEX kabisa kabla ya ndoa,akawa anakupa kila kitu,anakufanyia kila kitu yani hizi "material things" unapata zotee,upendo unapewa woteee ila/Lakini huyu jamaa yeye swala la sex ni NO,sababu yake ni 1 tu hataki kukuchezea mpaka atakapokuoa uwe mke wake.

hilo halitoshi,hata wakati wakuoga kila mtu anaoga peke ake, ukivaa anatoka nje anakuacha ndani uvae,akivaa yeye anakwambia toka nje AVAE yani hataki uone utupu wake wala yeye hayuko tayari kuona utupu WAKO.

Ladies naombeni leo mseme ukweli ukipata aina hiyo ya mwanaume, Utaweza vumilia kama atakavyo mpenzi wako huyo? au utafanyaje? hebu semeni tu ukweli na Jamaa ndio mmeanza mahusiano mna miezi mi 3 sasa, mipango yenu ya ndoa anakwambia ni itapofika 2022 ndio atakuoa kwa harusi kubwa na nzuri.

Hebu tuelezane hicho kipengele mnakimudu vipii? Uongo ni DHAMBI mkumbuke.

CONTROLA
Kwa Wazinifu ni jambo gumu sana
 
Ivi wee unajua kusoma!! Nimekwambia alikua anakojoa kwa dk 1 tuu maana yake sikuwahi kupiz nikiwa nae. Sasa ulitaka nivumilie nn??
Narudia tena, K yako INA joto sana ndio maana anakojoa dakika 1. Ingekuwa ya baridi angekojoa baada ya nusu saa
 
Ahaa nimeelewa but yule alikiri mwenyewe ana matatizo..ni push.ups kumi tuu kamaliza.
 
Sa hvi so wanaume tu hata sis wanawake tunaogopa kwanza kupata mtu wa hvo sasa hvi ni ngumu otherwise kuna kitu,sasa nan anataka kuolewa anakutna na mtu hana nguvu za kiume n bora ujue mapema ili kama unamvumilia uamue wewe kuliko kukutana na kitu kama hcho alafu upo kwenye commitment
 
Kwa wazinifu jambo la kujihifadhi hawawezi
Elewa hivyo
hauwezi kujibu swali kwa nafsi yako mpk uwaongelee wazinifu?

tuambie wewe kama wewe,assume dunia haina hao wazinifu Unaweza!
 
Sa hvi so wanaume tu hata sis wanawake tunaogopa kwanza kupata mtu wa hvo sasa hvi ni ngumu otherwise kuna kitu,sasa nan anataka kuolewa anakutna na mtu hana nguvu za kiume n bora ujue mapema ili kama unamvumilia uamue wewe kuliko kukutana na kitu kama hcho alafu upo kwenye commitment
Unataka kusema wewe huwezi acha test mitambo si ndio kingunebe
 
Hii imezoeleka na sasa hivi imeshakuwa kama kawaida yetu wanaume wote kuambiwa tunapenda kutest mitambo hata kabla ya chochote kile,sawa tumekubali hii kwetu (hasa mimi) kukaa na wewe kama kaka na dada eti nasubiri siku ya ndoa ndio tukwichi kwichi Uvumilivu na ujinga huo sina. Nikae nasubiri siku ya ndoa ifike nije nikute hauna K (mi nitafanyaje).

Haya tutoke huko, leo naomba tu nyie wadada/wanawake muwe wakweli na mseme ile inayotoka chini ya uvungu wa nyoyo zenu, hivi ikitokea ukapata mpenzi (kama mnavyotaka) yule asietaka SEX kabisa kabla ya ndoa,akawa anakupa kila kitu,anakufanyia kila kitu yani hizi "material things" unapata zotee,upendo unapewa woteee ila/Lakini huyu jamaa yeye swala la sex ni NO,sababu yake ni 1 tu hataki kukuchezea mpaka atakapokuoa uwe mke wake.

hilo halitoshi,hata wakati wakuoga kila mtu anaoga peke ake, ukivaa anatoka nje anakuacha ndani uvae,akivaa yeye anakwambia toka nje AVAE yani hataki uone utupu wake wala yeye hayuko tayari kuona utupu WAKO.

Ladies naombeni leo mseme ukweli ukipata aina hiyo ya mwanaume, Utaweza vumilia kama atakavyo mpenzi wako huyo? au utafanyaje? hebu semeni tu ukweli na Jamaa ndio mmeanza mahusiano mna miezi mi 3 sasa, mipango yenu ya ndoa anakwambia ni itapofika 2022 ndio atakuoa kwa harusi kubwa na nzuri.

Hebu tuelezane hicho kipengele mnakimudu vipii? Uongo ni DHAMBI mkumbuke.

CONTROLA

huo ujinga kwangu nilashaonywa na wazee....kufanya sampling ni jambo la muhimu ..nisije kulaumu walimwengu.....

kutext mitambo ni muhimu sana hususani kwa dunia hii ya sasa....
 
Mwanamke nlianzisha nae relationship, wakati tunaanza akasema yeye hakuwa na mtu for like mwaka na nusu, which means hajasex mwaka na nusu. Relationship ikaendelea, nikaanza lipiga tunda lililokuwa bench mwaka mmoja na nusu, ishu ikaja sasa kapata kazi mkoani na saiv ana kama mwezi wa tatu analalamika nyege anataka nimfuate , swali nnalojiuliza miez mitatu kashindwa ku abstain ataweza mwaka na nusu, wanawake hawaeleweki, na ndio mana anamkataa jamaa alie singo anaenda kwa mshikaji mwenye wanawake saba na anaanza kulia lia
Inawezekana.
Ujue unapokuwa mwenyewe huna hisia na muwasho hakuna. Ila ukiwa na mwenzako lazima utataka na kama mlishapeana ndo kabisa atataka mara kwa mara.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom