financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,130
- 40,690
Utani gani unafanana na ukweli sipendi ujue, unanifahamu nna komwe nini😂😂Sioagi wadada wenye makomwe mimi🤣
Matani umeyataka mwenyewe usilie Toto..😂
Utani gani unafanana na ukweli sipendi ujue, unanifahamu nna komwe nini😂😂Sioagi wadada wenye makomwe mimi🤣
Matani umeyataka mwenyewe usilie Toto..😂
Somebody told me nilipoona picha ya komwe lake akaniambia analo Kama lako,aliniambia huku akitabasam nikajua tu ni hatari na nusu..😂Utani gani unafanana na ukweli sipendi ujue, unanifahamu nna komwe nini😂😂
imbesili kagoogle nahiyo pianonsense nimegoogle mie mjanja wewe zuzu halafu upo kama waleee wanaochukuliwagwa vituti
Yani hiyo kupiga mizinga jamani ni aibu sana! Mie malezi niliyopewa ni ya kusimama na miguu yangu mwenyewe, kuna siku naamka sina mbuni lkn kumwambia jamaa naomba hapana aisee achilia mbali kumchuna mmmh!Ushauri wako ni kwamba "Tupige mizinga" je tukifanya hivo ndiyo hawatahonga gari na majumba huko kwingine?
Haina haja ya kizinga mume, baby muelewa atakupa mwenyewe si hadi umchomoe bana
Sawa bana Kenzy😂 kajinga kabisaSomebody told me nilipoona picha ya komwe lake akaniambia analo Kama lako,aliniambia huku akitabasam nikajua tu ni hatari na nusu..😂
Aliniambia vingi vyengine nakuheshimu tu ila hili la kulia lazima nikuambie maana alisema ukilia huwa unaliza na wengine kutokana na namna hilo komwe linavyojikunjaga! So please don't cry..😂Sawa bana Kenzy😂 kajinga kabisa
Watu wenye makomwe wana akili sanaUshauri wako ni kwamba "Tupige mizinga" je tukifanya hivo ndiyo hawatahonga gari na majumba huko kwingine?
Haina haja ya kizinga mume, baby muelewa atakupa mwenyewe si hadi umchomoe bana
Kama ulijuaJidanganye mkuu ukiona hivyo jua hajaolewa akiolewa anabadili mahubiri..
Jipendekeze uone utakavyolabuliwaAsee sanamu lako tuliweke wap BUNGENI au stend mpya ya Magufuli kila abiria alione?
Nyie ndio wanawake wenye akili
Duuh🙄Raha ya mwanaume kuchunwa, kuchunwa kupewa majukumu.
Nina zawadi yako bibie krismas yako itakuwa mtelezo hahaUshauri wako ni kwamba "Tupige mizinga" je tukifanya hivo ndiyo hawatahonga gari na majumba huko kwingine?
Haina haja ya kizinga mume, baby muelewa atakupa mwenyewe si hadi umchomoe bana
@financial services ni mwanake lkn mleta uzi ana uke pekeeAsee sanamu lako tuliweke wap BUNGENI au stend mpya ya Magufuli kila abiria alione?
Nyie ndio wanawake wenye akili
Imeletwa na malayaSure hiii imekaa kimalaya Malaya .
Ila kutumika unatumika shida zako hatimizi halafu zake unamtimizia hadi raha .Yani hiyo kupiga mizinga jamani ni aibu sana! Mie malezi niliyopewa ni ya kusimama na miguu yangu mwenyewe, kuna siku naamka sina mbuni lkn kumwambia jamaa naomba hapana aisee achilia mbali kumchuna mmmh!
Haha kahabaaa, Yezebeli wewe
Haha kahabaaa, Yezebeli wewe
Jidanganye mkuu ukiona hivyo jua hajaolewa akiolewa anabadili mahubiri..
Toa muongozoNgoja waje...
Kama hiyo 50/50 mmekubali mbona na kazi za ndani kama kupika, kuosha vyombo, kufua na kusafisha nyumba hamzifanyi sasa