Wadada/wanawake msijidanganye kwa hili

Ushauri wako ni kwamba "Tupige mizinga" je tukifanya hivo ndiyo hawatahonga gari na majumba huko kwingine?

Haina haja ya kizinga mume, baby muelewa atakupa mwenyewe si hadi umchomoe bana
Yani hiyo kupiga mizinga jamani ni aibu sana! Mie malezi niliyopewa ni ya kusimama na miguu yangu mwenyewe, kuna siku naamka sina mbuni lkn kumwambia jamaa naomba hapana aisee achilia mbali kumchuna mmmh!
 
Ila kutumika unatumika shida zako hatimizi halafu zake unamtimizia hadi raha .
Ndio wale mnakufa na stress
 
Back
Top Bottom