Wadada wamekuwa cheap Baada ya Mnyoosho wa Baba Jesca!

BOB LUSE

JF-Expert Member
Jan 25, 2014
3,558
2,854
Hakuna ubishi kwamba hali ya maisha
Bongo imekuwa ngumu na ukakasi mara
BabaJesca alivyoanza kutoa mbinyo kila
kona,watu wanalia kimyakimyaa. wengine wametelekeza wake/michepuko kutokana na hali ngumu ya kiuchumi. huku BabaJesca akitoa kauli majuzi ya kuwa wanaolia njaa ni wale waliozoea kupata hela za bure(hapa ndio kundi la wanawake/wadada lipo).ni wahanga wakubwa wa utawala huu.

Uchunguzi nilioufanya ni kwamba asilimia kubwa ya wadada na kiasi kidogo wake za watu wasiojitambua wamenyooshwa na kuwa wadogo kama piritoni.hawana usumbufu kama ilivyokuwa katika utawala wa Baba Ritz. basically wako cheap and easy to get.
Naamini mbinyo huu ukiendelea soon wataanza wao kutupapatikia.

Hivyo wanaume ukiona Dada anatoa ushirikiano kiwango cha rami usijione wewe kuwa shababi/handsome/matawi sababu ni mnyoosho wa Baba Jesca mtaani. Poleni wanawake na maendeleo.
 
Hamna anayefaidi chochote, wote tu imekula kwetu
Sio kweli, wanaosota ni wale waliokuwa na mshahara milioni moja, alafu unakuta ana magari aina tatu tofauti, bata samaki samaki, anakaa kwenye apartment masaki...sasa unategemea kweli alikuwa hachezi dili zozote huyu??? wemgine waliokuwa wanapata kihalali haswa kwenye private sector wanadunda maisha kama kawaida...
 
Wewe unajishughulisha na nini!?
 
Back
Top Bottom