Wadada/Wamama wa JF mpoo!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wadada/Wamama wa JF mpoo!!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by sweetdada, Sep 19, 2012.

 1. sweetdada

  sweetdada JF-Expert Member

  #1
  Sep 19, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 540
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Jamani wadada/wamama wa JF wale wenye watoto wadogo na bado mnanyonyesha kuna bidhaa nzuuuri inayowahusu.

  Hii inaitwa Mamas & Totos nursing Scarf, ni mahsusi kwa ajili ya kujisitiri pale unapokuwa unauhitaji wa kumnyonyesha mwanao in public.

  Wengi wetu tumezoea kujificha na kanga, wengine wanatoa hawajifichi kabisaaa hadi aibu,jamani mwanamnke hata kama umezaa bado mwili wako unathamani jisitiri kwa kutumia Mamas & Totos nursing scarf.

  Bei yake ni nafuu, shilingi elfu thelathini tu ya kitanzania (Tsh. 30,000), na zinapatikana za rangi tofauti na style tofauti.

  Call now to place your order 0785 997700.

  you order, we deliver.

  Asanteni

   

  Attached Files:

 2. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #2
  Sep 19, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  ungeweka kwenye matangazo ingesaidia zaidi
   
 3. sweetdada

  sweetdada JF-Expert Member

  #3
  Sep 19, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 540
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Nashukuru kwa ushauri mkuu
   
 4. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #4
  Sep 19, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  halafu tangazo lake linahusu upande mmoja tu je na sie tunaowapa hizo hela inakuwaje huyu sweetdada sijui vipi..
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. sweetdada

  sweetdada JF-Expert Member

  #5
  Sep 19, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 540
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35

  Jamani kumbe nimewabagua ee?polee,ila hao wadada/wamama ndo watawashawishi nyie muwanunulie.
   
 6. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #6
  Sep 19, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,334
  Likes Received: 2,653
  Trophy Points: 280
  Picha uliyoweka mbona imekaa kama LOGO au WEBSITE BANNER
   
 7. sweetdada

  sweetdada JF-Expert Member

  #7
  Sep 19, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 540
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  picha ndo hizo wakuu
   
 8. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #8
  Sep 19, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  :biggrin1:
   
 9. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #9
  Sep 19, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  kwa sababu hawataweza kununua mpaka tuwape hela dawa ni kususa.
   
 10. sweetdada

  sweetdada JF-Expert Member

  #10
  Sep 19, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 540
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  lol, usinibanie Philipo jamani aii,wacha nijikwamue na mie aiii
   
 11. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #11
  Sep 19, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  duu nilipoona rangi ya njano tu hamu yote imeniisha je ipo bluu
   
 12. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #12
  Sep 19, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  hili nimelipenda sana..

  [​IMG]
   
 13. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #13
  Sep 19, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Ushauri alokupa Mtotowamjini uko sahihi kikanuni, but kibiashara mi nadhani bora huku kama kanuni zina'allow , coz huko kuliko specific na matangazo wengine kwa mwezi twaingia mara 1 !
   
 14. sweetdada

  sweetdada JF-Expert Member

  #14
  Sep 19, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 540
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Asante mamy, zipo za rangi na style tofauti kama uko interested nakufikia ulipo
   
 15. Nyetk

  Nyetk JF-Expert Member

  #15
  Sep 19, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 1,624
  Likes Received: 819
  Trophy Points: 280
  Hilo vazi bongo wataingia nalo disco!
   
 16. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #16
  Sep 19, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,744
  Likes Received: 12,809
  Trophy Points: 280
  Safi sana utakuwa umesaidia sana maana wengine kila maahala wana toa tu bila kujali mazingira.
   
 17. l

  lawi1991 Member

  #17
  Sep 19, 2012
  Joined: Sep 5, 2012
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hii ni nzuri
   
 18. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #18
  Sep 19, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,226
  Trophy Points: 280
  neno hili.....
  Leo wakati natoka dar kwenda iringa kuna mdada alikuwa anayatoa tu kumnyonyesha mtoto mkubwa tu ( hata kama mtoto kwa mzazi hakui) mbaya zaidi mtoto hanyonyi anayachezea tu khaaaaaaaa mara avute huku mara kule, mara ayatie mdomoni mara aache linaning'inia..... Walaahiiiii full kuyaanika, na mama mtu katulia tuliii anakenua meno tu
   
 19. sweetdada

  sweetdada JF-Expert Member

  #19
  Sep 20, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 540
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35

  lol, kwa kweli hiyo ndo ilinifanya niwaze kutengeneza hii nursing scarf, maana inatia aibu kwa kweli,afu utakuta linyonyo lenyewe halina hata mvuto ila mtu kaliacha tu mtoto acheze nalo na yeye anaona sawa tu watu kumtazama.
  Wanawake tuamke tuthamini miili yetu kha!
   

  Attached Files:

 20. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #20
  Sep 20, 2012
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,649
  Likes Received: 1,475
  Trophy Points: 280
  Sasa sweetdada nyonyo likiwa na mvuto ndo
  Liachiwe hadharani? Huoni kuwa unazidi kutuaminisha kuwa wanaoamini yana mvuto wanayaacha hadharani makusudi na ni matangazo for that matter? Ipo wapi haki ya mtoto kunyonya kila anapohitaji akiwa na umri
  Mdogo?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...