god with us
JF-Expert Member
- Oct 19, 2013
- 391
- 100
Nimetumiwa na mtu. Hii ni kwa ambao hamjaoa >>>
Nimekuwa najiuliza kwanini miaka hii miwili wanaume wengi nisiowatarajia wameoa na wengine wanaoa,ghafla ghafla tu unashangaa Kaboom..Meseji hiyooo.Familia ya Bwana Mbulula wanayo furaha kukutaariu kuwa kijana wao....
WANAUME KUWENI MAKINI
Kuna tabia fulani hivi mnawaalika Mademu Gheto wanakuja wanalala halafu ikifika asubuhi wanajua kabisa utaenda kazini,wao wanajifanya wamelala.Utawasikia 'Bebi we nenda tu mi niache bado nna usingizi niachie funguo utaikuta chini ya mlango'
Kwa kumuamini unaacha..DUNIA IMEBADILIKA...Mchawi sio lazima avae gagulo,mademu wa siku hizi wanakupekecha hadi unakaa sawa,wanachukua nguo yako wanaipeleka kwa mtaalamu,wanaichezea Alingo na Azonto kwa Mpigo,ukirudi unakuta umepigiwa Pasi nguo za kwenda kazini kesho na gheto limepangwa,unajua yeesss..Ukivaa tu ile nguo,na vile Mungu kwako ni part time job kama Customer Care operator UNAKAMATWA...
Usidhani Limbwata ni kwenye chakula au kuwekewa kipande cha Nyama kwenye kipapuchi,Watch out...Ni Sistaduu na ana sura ya upole lakini Trust No One...wanaloga usitake Kujua,Ndoa zinasakwa kuliko Form 6 anavyopiga ruti ofisi za TCU..
Ukinitumia meseji ya mchango wakati wiki6 zilizopita uliniambia utaoa maybe 2017 najua tayari umenaswa...Ufunguo wa Gheto sikupi,amka tutoke wote,usingizi kwenu!