Wadada wa siku hizi na ndo za ghafla

god with us

JF-Expert Member
Oct 19, 2013
391
100
Nimetumiwa na mtu. Hii ni kwa ambao hamjaoa >>>

Nimekuwa najiuliza kwanini miaka hii miwili wanaume wengi nisiowatarajia wameoa na wengine wanaoa,ghafla ghafla tu unashangaa Kaboom..Meseji hiyooo.Familia ya Bwana Mbulula wanayo furaha kukutaariu kuwa kijana wao....
WANAUME KUWENI MAKINI
Kuna tabia fulani hivi mnawaalika Mademu Gheto wanakuja wanalala halafu ikifika asubuhi wanajua kabisa utaenda kazini,wao wanajifanya wamelala.Utawasikia 'Bebi we nenda tu mi niache bado nna usingizi niachie funguo utaikuta chini ya mlango'
Kwa kumuamini unaacha..DUNIA IMEBADILIKA...Mchawi sio lazima avae gagulo,mademu wa siku hizi wanakupekecha hadi unakaa sawa,wanachukua nguo yako wanaipeleka kwa mtaalamu,wanaichezea Alingo na Azonto kwa Mpigo,ukirudi unakuta umepigiwa Pasi nguo za kwenda kazini kesho na gheto limepangwa,unajua yeesss..Ukivaa tu ile nguo,na vile Mungu kwako ni part time job kama Customer Care operator UNAKAMATWA...
Usidhani Limbwata ni kwenye chakula au kuwekewa kipande cha Nyama kwenye kipapuchi,Watch out...Ni Sistaduu na ana sura ya upole lakini Trust No One...wanaloga usitake Kujua,Ndoa zinasakwa kuliko Form 6 anavyopiga ruti ofisi za TCU..
Ukinitumia meseji ya mchango wakati wiki6 zilizopita uliniambia utaoa maybe 2017 najua tayari umenaswa...Ufunguo wa Gheto sikupi,amka tutoke wote,usingizi kwenu!
 
Vidume mumesikia????? Mentooooooooooo kom hia
 
Last edited by a moderator:
hahaaaa we jamaa umenifurahisha sana!! Hii delaying Technic sikuwa kuijua!! hivi madem kwanini wanakuwa hivi? halafu ndoa nyingi ni 3 months kila mtu kivyake!!
 
umenikumbusha mbali kidogo enzi zile bado nipo geto
Nilimpata mke wangu kwa sumu ndogo tu alikuwa kila akija geto kwanza anafua nguo zangu zote harafu anaosha vyombo vyote hata kama ni visafi anadai havikutakata vema
Then anapika chakula cha mchana tunakula wote baada ya hapo anaenda zake bafuni kuoga ananipa mzigo napiga xxxxxxxx baada ya hapo jioni inakuwa imeshafika ananiaga na kurudi kwao kwa ahadi ya kuja tena week end
Ilifika kipindi nikawa naona mbona week end mbali ........
Nikakata shauri na kuamua kutangaza ndoa na hivyo ndivyo nilivyomuoa mke wangu Mama ..........
 
jina lako GOD WITH US....kama utaendana na jina lako basi hamna wa kukuloga,huyo dada/demu atakukoleza kwa hayo hayo mambo madogo madogo....hamna uchawi hapo....
 
Ndio maana mimi siwakaribishagi gheto, mambo yote yanaishia lodge baada ya hapo kila mtu kivyake.
 
jina lako GOD WITH US....kama utaendana na jina lako basi hamna wa kukuloga,huyo dada/demu atakukoleza kwa hayo hayo mambo madogo madogo....hamna uchawi hapo....

Hahaha wadada wanajua kumchanganya mtu balaa ila kwa jina la yesu watashindwa
 
umenikumbusha mbali kidogo enzi zile bado nipo geto
Nilimpata mke wangu kwa sumu ndogo tu alikuwa kila akija geto kwanza anafua nguo zangu zote harafu anaosha vyombo vyote hata kama ni visafi anadai havikutakata vema
Then anapika chakula cha mchana tunakula wote baada ya hapo anaenda zake bafuni kuoga ananipa mzigo napiga xxxxxxxx baada ya hapo jioni inakuwa imeshafika ananiaga na kurudi kwao kwa ahadi ya kuja tena week end
Ilifika kipindi nikawa naona mbona week end mbali ........
Nikakata shauri na kuamua kutangaza ndoa na hivyo ndivyo nilivyomuoa mke wangu Mama ..........

Bas ww ulikolezwa
 
hahaaaa we jamaa umenifurahisha sana!! Hii delaying Technic sikuwa kuijua!! hivi madem kwanini wanakuwa hivi? halafu ndoa nyingi ni 3 months kila mtu kivyake!!

Nyie si vijana wa cku hiz c mnajifanya wagumu kuowa sasa jipangen
 
Kwi kwi kwi mwanamke akiwezeshwa anaweza...
We umemuwezesha kufika gheto yeye anamalizia harakati zote za kubaki mazima.....
 
Back
Top Bottom