Wadada wa MMU naomba mnijibu haka kaswali kangu!!

Nyie mambo yenu pelekeni huko PM. . . hatuhitaji kujua kua wewe na Zogo mnapendana sijui mnatongozana.

Ohhh alafu kuna mtu kaniambia nikutakie weekend njema. . . kwa taarifa zaidi nione baadae.

na wewe nakuomba uje kule PM kuna tongozo kama la kurasa 70 nataka nikupe..
 
Ni hivi muuliza swali :
Kitunguu kina sifa, na ubora wake kibaki kuitwa Kitunguu.
Na Nyanya, Hoho kwa mfano huohuo.
Mwanaume ana muundo specific (include Sauti nzito)
Mwanaume anakua proud enough anapobahatika kumiliki bass sound, mie ni miongoni mwa hao walio proud.
Na haiwezekani nikaipenda sauti ya mwanaume mwenzangu itanisaidia nini ? Ofcoz nitavutwa na sauti ya diff gender !
Aidha mwanamke pia hawezivutiwa na sauti ya gender yake o/wise awe David C .
Mwanaume anabaki kua mwanaume kwa vigezo & muundo wake.
 
Napenda wanaume wenye sauti kama . . . . , . . . . , . . . . . na . . . . . !!

Ungekua unawajua ningekutajia ili usikie mwenyewe zinavyolipa.

Mi nshawajua Lizzy....ni
Barry White na Rick Ross...
 
Napenda wanaume wenye sauti kama . . . . , . . . . , . . . . . na . . . . . !!

Ungekua unawajua ningekutajia ili usikie mwenyewe zinavyolipa.

of course sauti ya bishanga inakumaliza kabisa,au vipi?
 
ukiacha kujibu na mimi nagoma kutuma..kudadeki

mi sijambo hofu kwako mama maua..lol

Aisee kumbe wavulana mnapendewa sauti mmmh makubwa naomba tu msitafute mchina kutengeneza voice
 
Back
Top Bottom