Wadada wa kona bar ni machangu kweli au matapeeli | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wadada wa kona bar ni machangu kweli au matapeeli

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by idawa, Mar 2, 2012.

 1. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #1
  Mar 2, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,520
  Likes Received: 10,438
  Trophy Points: 280
  mimi sio mkazi wa Dar.lakini mara nyingi kila nakifika jijini lazima nipitepite kwenye maeneo ya burudani kuosha macho si unajua tena mikoani vumbi sana.lakini mara nyingi nikienda pale kona bar huwa na duwaa sana nikiwaona wadada poa wa pale lakini pale kuna wadada wa wazuri huwezi amini wana mvuto ajabu.hivi wale kweli wanajiauza au matapeli.manake hata bei sijawai kuuliza.kama kuna wajanja wa pale mnipe maujanja jinsi ya kuwaingia manake naishiaga tu kula kwa macho.
   
 2. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #2
  Mar 2, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,750
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  Mmmmmmmmmh_ama kweli wewe ni mgeni wa jiji.
   
 3. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #3
  Mar 2, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,520
  Likes Received: 10,438
  Trophy Points: 280
  mkuu nipe maujanja we si mwenyeji hapo.!!!!
   
 4. cartura

  cartura JF-Expert Member

  #4
  Mar 2, 2012
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 3,049
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  dah, mambo ya milupo hayo...
   
 5. Davesto

  Davesto JF-Expert Member

  #5
  Mar 2, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 350
  Likes Received: 186
  Trophy Points: 60
  we unaonaje yaani as a grown man
   
 6. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #6
  Mar 2, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,520
  Likes Received: 10,438
  Trophy Points: 280
  hujanisaidia au na wewe mwenzangu na mie....
   
 7. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #7
  Mar 2, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Wafuate uwaulize mpaka asubuhi bila condom sh ngapi??
   
 8. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #8
  Mar 2, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 11,992
  Likes Received: 2,649
  Trophy Points: 280
  Pale ni mixa wanauza na kutapeli,ni wataalam sana wa kuwaibia wanaume,ukimchukua mkienda kula raha kwenye nyumba za kulala wageni,hakikisha humnyonyi chuchu na ukifunga mlango hakikisha unasogeza kitanda mlangoni,ili asije kutoroka na vitu vyako,UMENIPATA HAPO?
   
 9. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #9
  Mar 2, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Teh teh hii safi
   
 10. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #10
  Mar 2, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  unaomba ushauri jinsi ya kumtongo.za changu.!
   
 11. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #11
  Mar 2, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,520
  Likes Received: 10,438
  Trophy Points: 280
  nimekupata vizuri lakini unamaanisha kitanda ndo komeo alafu nisinyonye chuchu.ukinyonya inakuaje na usipofunga kwa komeo ya kitanda inakuaje
   
 12. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #12
  Mar 2, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,520
  Likes Received: 10,438
  Trophy Points: 280
  mi naomba ushauri jinsi ya kujiadhari nikiwa nae kama unajua nisaidie
   
 13. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #13
  Mar 2, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 706
  Trophy Points: 280
  Kama unataka kujua kama ni machangu kweli au la si uende ukawaulize???
   
 14. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #14
  Mar 2, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 11,992
  Likes Received: 2,649
  Trophy Points: 280
  Ukinyonya chuchu lazima uzimike mbaya,huwa wanapaka dawa za kulevya,kwenye mlango unafunga vizuri na komeo kisha unasogeza kitanda kuweka msisitizo wa lock.
   
 15. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #15
  Mar 2, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,520
  Likes Received: 10,438
  Trophy Points: 280
  mkuu bado hujanisaidia.najua humu kuna wazoefu wa burudani hasa jijini kama hujui bora uishie kusoma tu
   
 16. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #16
  Mar 2, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,520
  Likes Received: 10,438
  Trophy Points: 280
  mkuu asante kwa ufafanuzi lakini hawashirikiani kweli na vibaka wa pale manake mi maeneo ya pale sio mwenyeji kivile
   
 17. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #17
  Mar 2, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,520
  Likes Received: 10,438
  Trophy Points: 280
  hivi figanigga yuko wapi alikuwa awajulia sana watu hawa hadi viwanja vyao.
   
 18. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #18
  Mar 2, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 11,992
  Likes Received: 2,649
  Trophy Points: 280
  Asilimia kubwa wanashirikiana na vibaka.
   
 19. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #19
  Mar 2, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,867
  Likes Received: 6,220
  Trophy Points: 280
  we chukua mmoja halafu tuletee feedback na sie wa kuja tukajaribu
   
 20. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #20
  Mar 2, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Hivi hii bar iko mtaa gani??
   
Loading...