wadada wa kibongo wapo juuu......

Jestina

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
4,831
1,707

Facebook © 2011 · English (UK)

299992_2342773729256_1247367267_2893617_1071973_n.jpg

LikeComment

nikisoma coments za wakaka naanza kuamini blog ya mange wakaka wa kibongo hawajui thamani yetu sie wanawake,mpo tayari kuponda mdada msiyemjua mnanishangaza
 
nikisoma coments za wakaka naanza kuamini blog ya mange wakaka wa kibongo hawajui thamani yetu sie wanawake,mpo tayari kuponda mdada msiyemjua mnanishangaza

Hio ni defense mechanism... Hao wadada most wana mvuto... kuonekana kua hajashtuka

mhusika anatoa comments za kejeli... walau kutuliza roho yake akijua fika hata akim admire hatampata....
 
Hio ni defense mechanism... Hao wadada most wana mvuto... kuonekana kua hajashtuka
mhusika anatoa comments za kejeli... walau kutuliza roho yake akijua fika hata akim admire hatampata....
AshaDii,
umenikumbusha wale wahuni wa mitahani akipita mwanamke mzuri ambae wanajua hawatapata wanapiga mayowe, halafu wanajiliwaza huku wakiambizana wenyewe kwa wenyewe huyu mwanamke lazima atakuwa malaya sana halafu wanacheka wote
 
Chatu D... Umenifurahisha... kweli kabisa... but hio tabia hata baadhi ya wanaume ambao sio wakijiweni hufanya...
 
hahaha umekosa,mie sipo hapo siwafikii kwa urembo lol
Sasa kama wewe hupo ktk hiyo picha mbona umeweka picha hadharani ambayo sio yako? Wenyewe wanajua kama umewaanika hapa? Hili sio jambo zuri kabisa sababu ni violation of privacy.
 
Bongo ni full mitumba banaaaa.... Mademu wote washachakachuliwa...... Nje po tu lakini ndanihawana lolote full dimbwi.

Nyie mademu kizazi cha facebook hamuujui unyago mnaishia kuwa visiki dimbani. Aibu.... Bora nioe mzaramo full mkatiko
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom