Jestina
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 4,831
- 1,707
Facebook © 2011 · English (UK)
About · Advertising · Create a Page · Developers · Careers · Privacy · Terms · Help
LikeComment
Lizzy Swali zuri,Wewe ndio yupi hapo?'
Mbona wa kawaida sana
Wewe ndio yupi hapo?'
vyuma chakavu ....(sorry)Mbona wa kawaida sana
nikisoma coments za wakaka naanza kuamini blog ya mange wakaka wa kibongo hawajui thamani yetu sie wanawake,mpo tayari kuponda mdada msiyemjua mnanishangaza
AshaDii,Hio ni defense mechanism... Hao wadada most wana mvuto... kuonekana kua hajashtuka
mhusika anatoa comments za kejeli... walau kutuliza roho yake akijua fika hata akim admire hatampata....
AshaDii,
umenikumbusha wale wahuni wa mitahani akipita mwanamke mzuri ambae wanajua hawatapata wanapiga mayowe, halafu wanajiliwaza huku wakiambizana wenyewe kwa wenyewe huyu mwanamke lazima atakuwa malaya sana halafu wanacheka wote
Sasa kama wewe hupo ktk hiyo picha mbona umeweka picha hadharani ambayo sio yako? Wenyewe wanajua kama umewaanika hapa? Hili sio jambo zuri kabisa sababu ni violation of privacy.hahaha umekosa,mie sipo hapo siwafikii kwa urembo lol