Nannies bado wako hot sokoni maana hata duniani huko bdo wanahitajika kwa ksii na kwa mshahara mnono either kwa masaa au kwa week tofauti na sisi elfu50 mwezi ndo imezoeleka ukiachana na wale wa Masaki
Kwakweli hawataweza imagine $10 kwa lisaa tusipigie 18 au 15 anafanya masaa8 per dày kwa siku7 unaondoka na pesa nzuri tuHii biashara ikiwa organized kama nchi zilizoendelea hakuna atakaeweza lipa!
Huku kwetu hii ni total slavery mpaka sasa!
Ni vizuri ina change!
Yaani unagharamika kutuma pesa ya nauli na ya kula njiani anakaa siku nne unapigiwa simu kwamba huyo binti tunamtaka kuna tiba anataka kupewa baada ya siku moja atarudi,akienda harudi ng'oo yaani tunapoelekea na hawa wadada sijuuii.
Wale wa masaki sh.ngapi?Nannies bado wako hot sokoni maana hata duniani huko bdo wanahitajika kwa ksii na kwa mshahara mnono either kwa masaa au kwa week tofauti na sisi elfu50 mwezi ndo imezoeleka ukiachana na wale wamasaki
Naski 150 mpaka 300 wengine wamezidi ss sjui kama kweli wamezidi 300.Wale wa masaki sh.ngapi?
Nb:na mm natafuta kazi za ndani niajiri Hata hapo kwako
Kweli kabisa mkuu.Hahahhhaha kuna mmoja wife alimtoa ruvuma hadi dar alipofika kesho yake akasema amemmis mwanae anataka kuondoka akapewa nauli akasepa
Akitaka kwenda mwache tu asikuletee matatizo
State agent
Uko sahihi, sema shida inakuja pale ukimng'ang'ania halafu akakuletea madhara hasa kwa kuwaletea madhara wanao.Kabla haujamrudisha omba wamtumie nauli mtt wao kistaarabu tu maana ww ulituma yakumleta.
Kama ulituma ya dalali pia dai wakishindwa kulipa sio mbaya heri watume hata nauli aende
Na kabla hajaja utaambiwa anatolewa dom labda lakn akija ukaongea nae atakujibu mm nmetokea ukonga na nna mwaka nipo dar hapo ndio utachoka jinsì ulivyopigwa
hawa watoto kisaikolojia wapo tayari kuliwa na baba mwenye nyumba yaani akili yao tayari inatambua hilo hata kabla hujawaomba;
Haumng'ang'anii watume tu nauli ataondoka hawatumi basi akae au unampeleka kwa mtu aliekuletea akaenae wamtumie nauli huko mzigo uwe wakeUko sahihi, sema Shida inakuja pale ukimng'ang'ania halafu akakuletea madhara hasa kwa kuwaletea madhara wanao.