Mi kuna mmoja alikuja, akafika jioni. Asb kaamka anadai nauli arudi kwao eti kisa hana wa kupiga nae story.
Hahahhhaha! Kuna mmoja wife alimtoa Ruvuma hadi Dar alipofika kesho yake akasema amem-miss mwanae anataka kuondoka, akapewa nauli akasepa.
Akitaka kwenda mwache tu asikuletee matatizo.
State agent