Wadada wa JF

mysteryman

JF-Expert Member
Aug 4, 2011
977
176
Hebu kama upo singo coment hapa ili watu tupate kujimwaya mwaya ebo.....uchoyo tu bana...my!
 
yale yaleeeeeeee,una sh ngapi benki Mkuu,jiandae kabisa na majibu maana utaulizwa sasa hivi,andaa na benki stetiment na balance sheet kabisa.halafu pia jiweke sawa kueleza kama una kabati la mbeo na stauti.
 
una miakili kama yangu.
 
Yap yap naona vimwana washaanza kujileta yuhuuu....ngoja tuanze kujimwaya mwaya....ngoja nianze na huyu kipipi lazima atakua mtamu tu huyu...lol! my!
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom