Wadada tuwe makini. Kuna member wa kiume anaambukiza HIV kwa makusudi huku Jamii Forums

Status
Not open for further replies.

DaJane

JF-Expert Member
Aug 3, 2012
223
623
Tahadhari wana Jf.
Kuna member humu anaishi na virusi vya UKIMWI.
Na anaambukiza kwa makusudi.
Na target yake ni kuwaambukiza wadada wa Jf kwa kisingizio cha kuwatafutia kazi mkoa aliopo.
Ushahidi ninao.
Na member huyu anaitwa Nyeusi 20 (fungua code)
Ushahidi ninao kama kaathirika....
Na hata kama moderate watataka uthibitisho wa vyeti vyake (nilivipiga picha) nitaweka hapa.

Lengo sio kumuanika au kumnyanyapaa...lengo ni kuwapa tahadhari members wengine maana katika diary yake ameweke lengo la kuambukiza wadada 10 kutoka Jf.
(Modereta wakitaka pia screenshot za hio kurasa ya diary aliyoandika nitaiweka hapa au hata huko Pm kwao).
Kama kuna mtu anamjua huyu member au ashawahi kukutana nae live....NAOMBA AWE SHUHUDA WA AFYA YAKE (afya ya Nyeusi 20)

Atoae tahadhari, anawapenda wenzake.
Huyo member ana pesa sana na yuko tayari kukugharamia na kukupa hata milioni ilimradi atimize lengo lake.

Narudia tena.
Sina nia ya kumchafua mtu ila natoa tahadhari tu.
Muwe na asubuhi njema.
Nawapenda sana.
Wadada tamaa zitatuua....hasa kwa wapenda miteremko.
 
Kunashida mahali kama anafanya kusudi kwanini usiweke doc hadharani,umesema ushahidi unao halafu unaficha basi wewe ndio mwenye shida hapa sio yeye
Tahadhari wana Jf.
Kuna member humu anaishi na virusi vya UKIMWI.
Na anaambukiza kwa makusudi.
Na target yake ni kuwaambukiza wadada wa Jf kwa kisingizio cha kuwatafutia kazi mkoa aliopo.
Ushahidi ninao.
Na member huyu anaitwa Nyeusi 20 (fungua code)
Ushahidi ninao kama kaathirika....
Na hata kama moderate watataka uthibitisho wa vyeti vyake (nilivipiga picha) nitaweka hapa.

Lengo sio kumuanika au kumnyanyapaa...lengo ni kuwapa tahadhari members wengine maana katika diary yake ameweke lengo la kuambukiza wadada 10 kutoka Jf.
(Modereta wakitaka pia screenshot za hio kurasa ya diary aliyoandika nitaiweka hapa au hata huko Pm kwao).
Kama kuna mtu anamjua huyu member au ashawahi kukutana nae live....NAOMBA AWE SHUHUDA WA AFYA YAKE (afya ya Nyeusi 20)

Atoae tahadhari, anawapenda wenzake.
Huyo member ana pesa sana na yuko tayari kukugharamia na kukupa hata milioni ilimradi atimize lengo lake.

Narudia tena.
Sina nia ya kumchafua mtu ila natoa tahadhari tu.
Muwe na asubuhi njema.
Nawapenda sana.
Wadada tamaa zitatuua....hasa kwa wapenda miteremko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana vipi na wewe kashakupa mkuu? Umewezaje kusoma diary yake bila kukutanua, umewezaje kupata vyeti vyake muhimu vya Afya yake bila kuwa mtu wa karibu kwake?

CC Zero IQ
 
Ni ujinga wa hali ya juu sana kutaka kumuambukiza binadamu mwenzako ugonjwa kwa makusudi,inakusaidia nini?! ukiambukiza wengine ndio pona yako? kuusambaza ugonjwa ni kuiweka pia familia yako katika hatari,

Huyo unayemuambukiza kwa makusudi anaweza akakutana na binti yako naye akamuambukiza japo bila kujua,hao unaowaambukiza wanaweza kuja kuiambukiza familia yako au ukoo wako pia,
What goes around...Comes around.
 
Status
Not open for further replies.
87 Reactions
Reply
Back
Top Bottom