Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 82,101
- 158,939
HAUNA HELAAAA
HAUNA HELAAAA
Licha ya hela labda wakati wa shuhuli jamaa yuko baridiLabda hatoi hela
Licha ya hela labda wakati wa shuhuli jamaa yuko baridi
hahahahaKuna kuuziana kwa kukubaliana kabla
kuna kuuziana kwa kizinga vya baadaye
kuna kuuziana kwa kukopeshana
Na kuna kuuziana kwa kulipa in advance (Mahali)
Hiyo ya mwisho jamii imeiweka kama ndo heshima.. hizo zingine zina majina yake mfano UCHANGU, UMALLAYA ETC
Ukute humpi romanceHii tabia nimeiona kwa wadada wengi. Mtu kakupanga muda mrefu kwa ajili ya kupigwa mti. Ajabu mnafika eneo la tukio, badala ya kuonyesha ufundi, hamasa na mahaba kwa mwanaume unaanza kulalamika muda wote wa tendo.
Malalamiko yenyewe hayana msingi wowote na ni ya kipuuzi.
Utasikia nimechelewa fanya haraka, kabla haijaingia uniumiza, dk 5 tu imetosha niende, mara hela yangu naomba Kila style hutaki Ni moja mwanzo mwisho na upuuzi kibao.
Ukiangalia dem mwenyewe mkongwe kwenye game. Kama hutaki si useme.
Na hii hutokea kwa madem ambao wala hafananii na tabia hizi. Outside dem yuko njema Kila idara.
Ukisikia mwambie na mwenzio
Washikaji au nakoseaaa???
Fonimu ni kipashio/kitamkwa kidogo cha kisarufi ambacho hutofautisha kile kilichotamkwa(andikwa) na kile kingalitamkwa/andikwa.Kuna kuuziana kwa kukubaliana kabla
kuna kuuziana kwa kizinga vya baadaye
kuna kuuziana kwa kukopeshana
Na kuna kuuziana kwa kulipa in advance (Mahali)
Hiyo ya mwisho jamii imeiweka kama ndo heshima.. hizo zingine zina majina yake mfano UCHANGU, UMALLAYA ETC
Asante, pale kwenye TYPO, weka tu kinachostahili..Fonimu ni kipashio/kitamkwa kidogo cha kisarufi ambacho hutofautisha kile kilichotamkwa(andikwa) na kile kingalitamkwa/andikwa.
Hivyo kuna tofauti kubwa kati ya
mahaLi VS. mahaRi
kuLa VS. kuRa
kaLamu VS. kaRamu
Usipokuwa makini herufi/sauti moja tu yaweza kukupeleka motoni. Astaghafirullah!
sawa love, nimekusikia darling
Hii njia ina simba tafadhari naomba usipite.