wadada piteni hapa utafanyaje kama ni wewe rafiki,au ni mmiliki

Eversmilin Gal

JF-Expert Member
Feb 5, 2012
778
269
kuna dada hapa analalamika yeye kazoea kuvaa mitumba cunajua kwenda kunua kwenye boutique mpaka uwe na mpunga wa kutosha basi anavyodai mwenyewe akapata zali akaletewa jeans trouser ya ukwee bahati mbaya haikumtosha ikawa ndogo kurudisha akambiwa size yake hamna basi amekua akiulizia labda mtu anaweza akamuuzia hakuondoa hata label ansema ilinunuliwa sh 60000,sa jana akatembelewa na rafiki yake mwenye boutique akamwambia atampa akamuuzie au akiichukua yeye basi ampe hela au waexchange na nguo itakayomtosha kwenye boutique bada ya kula c unajua wageni ile anaondoka ndo bibie akakumbuka eeh ngoja nkakuletee ile trouser akaenda kumletea lol yule rafiki yake akamuambia asnte yani akijua kua amepewa bure sa bibiye kiroho kinamuuma anaogopa atakosana na huyo rafiki yake afanyaje amuachie rafiki yake ile trouser,amdai hebu msaidieni kiroho kinamuuma nawasilisha
 
Msaidieni huyu da shosti afanyaje
 
Hapo hamna ujanja,
kwa kuwa lengo lake ni ku-exchange in order to get another,
asimwachie..!!!
Coz najua huyo bidada kafanya kusudi,
May b she lk it(trouser) alipoiona
then kaamua kumpotezea!!
 
kwani mwanzo hakumueleza nia yake.....? iweje na huyo aliyepewa aseme asante kama alijua nia ya mwenzie toka mwanzo......?.....si walizungumza....? huyo shoga boutique nae hana adabu.......bi dada amwambie hataki tena amrudishie jeans yake.......
 
yaani unaogopa kumwambia mtu wakati mali ni yako? Ebooooh?????????

Amwambie nimekuoa kwa sababu moja mbili tatu....

Anamuogopea nini?

Ushosti gani huo wa kuumizana?
 
For the same reason ya kuingia mkenge kwenye kuhusiana. Unakuwaje na rafiki ambaye huwezi kuwa free nae? Ladies! Hata mie huwa wananishangaza!
 
Baada ya muda kidogo amfuate amulize vipi ushaiuza ile nguo.manake huyo alelewa lakini akajitia amnazo na yeye ajitie hamnazo
 
Back
Top Bottom