..... Wadada nisaidieni... nini siri ya hii SMIRNOFF white/colourless LAGER..

...kuna mtu nimemsikia anasema ni tam...nasikia imetoka bear yake...sijui ndo iyo...ALC 7%
 
...yes of cz...ni 7%.. ameizungumziaje... Mie bado sija ijarib ila wadada wanaipiga kama MTOGWA wa ULANZI...
 
WaliNazi anasema stimu inakuja fasta...mbili tu...chali...na haina mning'inio kiviile...nadhani pia sio chungu...
BTW napita hapa kwa MAMA KAMCHE i must take one to get the taste ...then i will come back to you.
 
Last edited by a moderator:

...au inaongeza mambo flani ya... "KIMAHABAT"... kwa wa Dada?
 
Last edited by a moderator:
WaliNazi anasema stimu inakuja fasta...mbili tu...chali...na haina mning'inio kiviile...nadhani pia sio chungu...
BTW napita hapa kwa MAMA KAMCHE i must take one to get the taste ...then i will come back to you.

jaman nimepamic kwa mama kamche, c pale lufungiro au? BAGAH
 
Last edited by a moderator:
WaliNazi anasema stimu inakuja fasta...mbili tu...chali...na haina mning'inio kiviile...nadhani pia sio chungu...
BTW napita hapa kwa MAMA KAMCHE i must take one to get the taste ...then i will come back to you.

Nipo hapa kwa mama kamche mbona sikuoni
 
Last edited by a moderator:
Sio bia hata kidogo. Ni gin ile ambayo imekwisha changanywa na juisi au soda. Kwa kweli ina ladha ya utamu, ni kama soda hivi. So kwa wadada haina adha ya kukunja uso wakati wa kubugia.
 
aaaaagh......ni katamu tamu hivi....na kanakufanya unajisikia pembe.......lakini kesho yake......kichwa utadhani umebeba kilo mia 4 za mawe....khaaa.......
(sijui kwa sababu nilikunywa chupa kumi......)
 
Gurta hivi bia kama ndovu ni chungu eeh?...
 
Last edited by a moderator:
aaaaagh......ni katamu tamu hivi....na kanakufanya unajisikia pembe.......lakini kesho yake......kichwa utadhani umebeba kilo mia 4 za mawe....khaaa.......
(sijui kwa sababu nilikunywa chupa kumi......)

....kumbe ndo hangover yake... Siijarib.
 
WaliNazi anasema stimu inakuja fasta...mbili tu...chali...na haina mning'inio kiviile...nadhani pia sio chungu...
BTW napita hapa kwa MAMA KAMCHE i must take one to get the taste ...then i will come back to you.

...bado wajumlisha vyupa.... twasubiri majib..!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom