Wadada na wanawake siku hizi hongo yao kubwa ni smart phone

Mshinga

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
3,532
1,124
Hawa viumbe gharama yao kubwa ni smart phone.

Kila mmoja hataki kupitwa na usasa.

Kuna watu nimeshuhudia wakilazimishwa na wapenzi wao kununua hizi simu za kubofya kizenji kama unanawa. haki ya nani wengine wanagombana kabisa.

ukizubaa ujue hiyo smart phone ataipata kokote.

ukiwahonga smart phone ndo umemaliza kazi.

thamani ya miili yao wameithaminisha na smart phone.

kwa nini wadada ndio wanamiliki smart phone kwa wingi kuliko wakaka? wenzetu wanahongwa hizi simu.

hata asiye na uwezo wa kuinunua atapiga mizinga mabwana zake mpaka kieleweke ama ampate mmoja amnunulie.

smartphone ndio ugonjwa wa wasichana saizi. you want them? go for it.
 
Mimi nalaumu umaskini tu..umaskini mbaya maana unaweza kuchukua hata ile nafasi ya mtu kujitambua..

Hawa. Lakini Mimi nafikiri ni tabia pia ya MTU Siku hizi wadada wengi tunaishi maisha ya kuiga na mashindano . Honestly familia niliyotokea sisi kwetu Hatuna uwezo kimaisha Tuko kikawaida . Pamoja na umasikini tuliokulia nao nakumbuka Bibi yangu , Mama na wazazi wetu walitusisitizia sana Upendo Wa Kweli na kuridhika na ulicho nacho ndio maana mpaka Leo hii hatuna Mali za kujivunia lakini tuna kitu kinachoitwa upendo mioyoni mwetu na kuridhika. Hapa Mimi simu yangu ni Android ni kwa sababu ndio uwezo na Niko happy kwa hilo.
 
Sasa hizo smart phone bora zikawa na matumizi mazuri sasa, kazi yao kupiga picha za utupu kwenye mitandao,wengine wanapiga picha nzuri tu ila imekuwa too much kla ajipodoa anajipiga na picha, wengine wameenda mbali hata akiwa toilet anapiga picha jamani........wanaenda na wakati, asimilia kubwa ya wanawake wanamiliki smat phone hilo linaweza lisiwe shida kwakuwa ni maendeleo ahijalisha yamepatikana vipi ila kwa asilimia kubwa ya wanawake ndo wanapiga picha za utu na kuzitupia kwenye mitandao kupitia smat phone na ndoa nyingi za siku hizi zina chechemea kisa hizo hizo simu
 
kweli kabisa na honhera sana mamii loviessweet kama unajimbua na kujikubali maana itakufanya uishi maisha ya furaha sana, maana na hichi kizazi chetu cha miatandao sasahivi dah kinafanya watu wapotee kabisa, mimi nakupa hongera kujitambua na kujikubali....cha muhimu kwnye maisha haya ni kutoridhika na hali na kutafuta kwa nguvu zako kwa marifaa na bidii bila kutumia mkato..big up sana
 
Sasa hizo smart phone bora zikawa na matumizi mazuri sasa, kazi yao kupiga picha za utupu kwenye mitandao,wengine wanapiga picha nzuri tu ila imekuwa too much kla ajipodoa anajipiga na picha, wengine wameenda mbali hata akiwa toilet anapiga picha jamani........wanaenda na wakati, asimilia kubwa ya wanawake wanamiliki smat phone hilo linaweza lisiwe shida kwakuwa ni maendeleo ahijalisha yamepatikana vipi ila kwa asilimia kubwa ya wanawake ndo wanapiga picha za utu na kuzitupia kwenye mitandao kupitia smat phone na ndoa nyingi za siku hizi zina chechemea kisa hizo hizo simu

ukweli mtupu kamanda
 
Hawa. Lakini Mimi nafikiri ni tabia pia ya MTU Siku hizi wadada wengi tunaishi maisha ya kuiga na mashindano . Honestly familia niliyotokea sisi kwetu Hatuna uwezo kimaisha Tuko kikawaida . Pamoja na umasikini tuliokulia nao nakumbuka Bibi yangu , Mama na wazazi wetu walitusisitizia sana Upendo Wa Kweli na kuridhika na ulicho nacho ndio maana mpaka Leo hii hatuna Mali za kujivunia lakini tuna kitu kinachoitwa upendo mioyoni mwetu na kuridhika. Hapa Mimi simu yangu ni Android ni kwa sababu ndio uwezo na Niko happy kwa hilo.

I love your comment,it's touchy
 
ni tabia ya mtu binafsi na tamaa sidhani kama mtu anaejielewa atafananisha mwili wake na simu ya em moja never
 
Wasipohongwa watoe wapi????? shukuru mungu hao wanaotaka smart phone!!!!!! wengine ni level zaidi ya hio...
 
Ni tabia ya mtu na jinsi alivyo na anavyojiweka. Sasa halaf smartphone aitumie vizur ni picha za kubinua inye na midomo tu la mana na hizo sim hayaonekani. Na halaf sio lazima kwenda na wakati hizi fasheni haziishi utakua wa kununua mpya kila siku me mpenz maybe anipe kama.zawadi kamwe siwez kumfosu aninunulie wakat najua uwezo hana tutajikuna pale unapofika mkono
 
nadhani unawaongelea vinuka mkojo bila shaka aka kuku wa kienyeji...

Shemeji kwa comment yako hii,....naanza kupata picha juu ya uhongaji wako.
Hivi ukimpa mwanamke wako kitu ambacho kiko kwenye fashion ni.......!!!!!!!
Alalalalaaaaaaa........:peep:
 
halafu wengine unakuta hata kuzitumia hawawezi akielekezwa jinsi ya kupiga mziki, kupiga picha, kupiga simu, na sms kaenda mbali sana labda facebook..... wakati smartphone zina matumizi kadha wa kadha.........!!! miss chagga naongopa kwa hili....?????
 
Last edited by a moderator:
hawa viumbe gharama yao kubwa ni smart phone.

kila mmoja hataki kupitwa na usasa.

kuna watu nimeshuhudia wakilazimishwa na wapenzi wao kununua hizi simu za kubofya kizenji kama unanawa. haki ya nani wengine wanagombana kabisa.

ukizubaa ujue hiyo smart phone ataipata kokote.

ukiwahonga smart phone ndo umemaliza kazi.

thamani ya miili yao wameithaminisha na smart phone.

kwa nini wadada ndio wanamiliki smart phone kwa wingi kuliko wakaka? wenzetu wanahongwa hizi simu.

hata asiye na uwezo wa kuinunua atapiga mizinga mabwana zake mpaka kieleweke ama ampate mmoja amnunulie.

smartphone ndio ugonjwa wa wasichana saizi. you want them? go for it

wamekuwa limbukeni wa technologia,hata wale wajanja wanabrouse kwenye foleni ,,,,,what is very urgent to reply while driving?
 
halafu wengine unakuta hata kuzitumia hawawezi akielekezwa jinsi ya kupiga mziki, kupiga picha, kupiga simu, na sms kaenda mbali sana labda facebook..... wakati smartphone zina matumizi kadha wa kadha.........!!! miss chagga naongopa kwa hili....?????

mimi sitaki smart phone nataka hela yako tu
 
Back
Top Bottom