Wadada. muwe mnakaa vizuri,Mnajiachia wazi kinyama.

Ngareroo

JF-Expert Member
Aug 11, 2019
2,049
2,249
Nigani asee machalii,Ma'dingilii na ma'manzi wa humu fas ya MMU!!Mko yente eeh.!?....Direct to e'point,aisee me nawaambiaje.!Kuna baadhi ya ma'manzi hawatatimba ndichi duas ya Mbinguni kwa Sir God kutokana na vidhambi vidonyo vidonyo(vidogo)tu...Nyie ma'mamiloo hasa wa Ngarenaro uku mnaopika Diko(Chakula) vibarazani muwe mnakaa vizuri aisee!!Leo Mchana kidogo nigongwe na pikipiki chaliangu,Yaani mamiloo kakaa nusu uchi ukimdekerea una'zoom hadi kwenye makali...Ni hayo tu sina Mapompolipo shazi ya kubofonga kuhusu ilo,,Kaeni tu mjistiri yechulay mambo yawe mshenente.
@NgarenaroBoy.
 

Attachments

  • a.jpg
    a.jpg
    34.5 KB · Views: 30
mleta mada umechanganya kojo na kinyesi kibichi ukalibwia na ugolo ukapata matokeo ambayo athari zake zinaonekana hapa
 
Back
Top Bottom