mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 15,990
- 35,670
- Thread starter
- #21
tatizo hawa wazungu hawaaminiki ndugu yangu,bible wameicompile wao mi mkristoila nina mashaka na bahadhi ya mambo na sio dhambi,ndio maana hata martin luther akawapinga wakatoliki ikatokea lutheran church other wise dunia nzima kungekuwa na dhehebu moja kama kila kitu kitaeleweka na kutafsiriwa sawa kwa kila muuminiUnapokuwa muamini inakubidi kuamini kwa asilimia yote.. Lkn ukiamini au kutokuamin kwa sababu kuna kifungu kinafunua uovu wako au kukataza tamaa zako basi ww si muamini. Mkristo wa ukweli huiamini bible yoteee na hata kilichoandikwa ktk bible si kama mwanadamu alivyopenda na kuona bali waliongozwa na Roho ya bwana katika kila hatua.