NIMEWAMISS SANA..MPO WAPI
Brother nakupa ushauri usimpe chochote maana ni wepesi kusahau.ila muoneshe akili yako kwa kufanya vitu vya maana.mfano kuwa na geto kali na safi,usafir mzuri,nunua kiwanja na mtoe out siku moja moja.sio unakaa kwa wazaz halafu unawaza nimpe zawadi atakutana na wenye nazo utalia.
Lazima musome muelewe, mleta mada hajamanisha mapenzi -wise ... someni kwa umakini..Idea yako nzuri sana tena sana mwamba
Miss u too mi nimefika mkuu sijui wengineNIMEWAMISS SANA..MPO WAPI
Hongera sana my dear friend...Nipo nipo nalea, nilijifungua mwezi Machi na baba wa huyu mtoto ni crazy kuhusu malezi ya mwanae.
Tapatikana zaidi mwakani, mwaka huu napiga chabo km hivi.
Karibu tena.NIMEWAMISS SANA..MPO WAPI
Hahaha nimecheka kinomaWengi mnadanganya.. Wengine mnabebaga viporo kwenye pochi.
Hahaha nimecheka kinoma
kuna sister duu mmoja kweny harakati za kugombea daladala handbag ikakatika chini pwaaa... kila kitu kikatoka uporo wa wali ukiwa kwenye vile vifuko vya plastic na maharage na mpaka aliona nishai akaghairi kupanda basi lenyewe walivyomshupalia watoto wa mjini.
kuna siku wakati natoka Zanzibar kuja dar, wakati wa kushuka Boat kwa bahati mbaya nilim push msichana wa watu pochi ya mkononi ikadondoka na kumwaga vitu vyote..... aisee!! aibu yaani niliona makorokocho ya ajabu sana, kwanza huyu dada anatumia pamba badala ya leso kujifuta tena ile pamba ya medical kabisa, rangi ya kucha cheap kabisa na kichupa kipo almost empty, lipstick cheap nayo imeisha kabisaa na makorokocho mengine, aisee nilitamani kulia. Nilichofanya nilimuomba radhi sana tumetoka pale hadi kariakoo nikamfanyia ka shopping ka 30,000 kisha tukaagana, tulivo achana sikuweza kujizuia machozi yalinitoka kwakweli. Maana kwa wadada walioona yale makorokocho walicheka na kutoa kejeli nyingi
Nipo nipo nalea, nilijifungua mwezi Machi na baba wa huyu mtoto ni crazy kuhusu malezi ya mwanae.
Tapatikana zaidi mwakani, mwaka huu napiga chabo km hivi.
Hongera kuwa mama, mwanao ajambo lakini?
AiseeMi niliwahi kumfanyia surprise ya Chupi kama mara 3. Nikashangaa siku moja naambiwa, "We Mwanaume gani hujawahi kumnunulia Mpenzi wako Hata Chupi! ".
Wewe ni mwanamke mkuu?Mie saa kali tu na raba kali, nikiona hv mahali naweza kuganda hat 10mns nashangaa