Daniel kulwa Nyawayi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2017
- 277
- 187
Ni kawaida yao mkuu na ndio majib yao kudharau vitu pia kitu cha mamiloni yy atakwambia hata ni cha elfu 30Km unaplan ya kumnunulia k2 mchumba wako jiaandae na big disappointment, furaha ya wanawake wengi ni ya mda mfupi baadae anasahau na tena hicho k2 ulichomnunulia km ni handbag siku atakwambia hujawahi kuninunulia hata handbag!