Wadada mnapenda kununua nini ambacho mkiwa nacho mnajisikia furaha?

Brother nakupa ushauri usimpe chochote maana ni wepesi kusahau.ila muoneshe akili yako kwa kufanya vitu vya maana.mfano kuwa na geto kali na safi,usafir mzuri,nunua kiwanja na mtoe out siku moja moja.sio unakaa kwa wazaz halafu unawaza nimpe zawadi atakutana na wenye nazo utalia.
 
yaani ukijua nature ya mwanamke utashangaa sana , maana mwanamke hata apewe dunia nzima hawezi ridhika atataka na kingine, ni nature yao tu

Mimi sioni sababu ya kumpa zawadi we Fanya mambo ya msingi tuu jijenge wewe coz hawa viumbe hata uwape non haisadii ..coz unaweza ukawa MTU wa kujitoa sana na bado ukapigiwa amini usiamini ..ndivyo ilivyo

Brother nakupa ushauri usimpe chochote maana ni wepesi kusahau.ila muoneshe akili yako kwa kufanya vitu vya maana.mfano kuwa na geto kali na safi,usafir mzuri,nunua kiwanja na mtoe out siku moja moja.sio unakaa kwa wazaz halafu unawaza nimpe zawadi atakutana na wenye nazo utalia.

Hamjaielewa mada..... isomeni vizuri.....

Swali lilikua kwa wakina dada vitu gani wao wanapendelea
 
Tatizo la hawa viumbe hawaridhiki hata umfanyie nin, we umejinyima wee yeye anaona ni kawaida tu. Dawa pekee mpe hela kidogo tu itakayoisha leo au kesho ili awe anakumbuka saa itakapoisha, mfanye siku zote kuwa muhitaji kuliko wewe. Hapo atatambua thamani yako.... Lakini ukijifanya mbabe unamnunulia ploti, gari, paaaap!! Kesho keshakusahau anasaka mwingine amfanyie kitu.
Wanawake hubadili mawazo haraka sana anachokifanya ni kile kilichoko mbele yake kwa mda huu bila kujali humgarim kwa vp baadae, na wanaangalia manufaa ya leo tu na si kesho
 
Nimeipenda
 
2019 je kuna vipya wameviongeza? mana hii thread yako ilikua 2018
Wadada mnapenda kununua nini ambacho hamtaki kiwe mbali na nyie? Yani kitu/vitu gani hua mnapenda kua navyo kiwe cha kuvaa ama kutembea nacho mahala popote hata ukiwa safarini.

Kitu/vitu gani hua vinawapendezesha macho au mkiwa navyo una feel uko updated
 
NIMEWAMISS SANA..MPO WAPI
Napenda handbag Kali,,,
Vitu navyopenda kuwa navyo safarin ni mtandio mdogo n pedi...
Kuhusu kitu kinachonipendezesha macho ni viatu
Mshkaji mmoja aliwahi kunizawadia... appreciated.
Mie saa kali tu na raba kali, nikiona hv mahali naweza kuganda hat 10mns nashangaa
Napenda viatu, especially a good pair of heels.
pochi nzuri, kitenge au material yoyote nzuri ya kushona na matching lingerie.
Saa na Raba.
Usijal mkuu mi ni eva
vyupiz nzuri pure cotton,gauni kali fupi
Mie sipendi pesa tu ndio isiwe mbali na mimi maana vya kununua vingi navichoka within a week tu.
 
Back
Top Bottom