Asante culture galSaa na Raba.
Asante miss kitongojiMie brazilian hair perfume and new shoes
Mzee umegonga msumari wa hatari.True thatKm unaplan ya kumnunulia k2 mchumba wako jiaandae na big disappointment, furaha ya wanawake wengi ni ya mda mfupi baadae anasahau na tena hicho k2 ulichomnunulia km ni handbag siku atakwambia hujawahi kuninunulia hata handbag!