Wadada mnaouza katika 'Famasi' acheni huu 'Upuuzi' wenu na Kuuliza Maswali ya Kinafiki na Kiuchokonozi kwani mtakuja Kupigwa

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,544
108,871
Mtu ana Shida zake za Kiafya pangine kwa 'Urijali' wake na kuwa Mwanamume 'Shujaa' kwa bahati mbaya kapata Moja ya Magonjwa ya 'Zinaa' ambayo kwa Mwanaume aliyekamilika ni lazima awe anayapata angalau mara Tatu au Nne kwa Mwaka akaamua kwenda Duka la Dawa ili apate 'Dawa' apone na aendelee 'Kungonoka' zake anakutana na Wadada wa 'Famasi' na Maswali yao haya ya Kukera....

1. Kwanini sasa Usioe tu Kaka yangu?
2. Condoms hukuziona?
3. Unahisi hili Gono au hii Kaswende yako uliipata katika Bao la Kwanza au la Tatu?
4. Una Wanawake wangapi mpaka sasa nje ya Mkeo?
5. Utarudia tena Kufanya Ngono zembe?
6. Kwani Matangazo ya Kujikinga na Maambukizi haya katika Radio na Runinga huwa hamuyasikii na hamuyatizami au?
7. Nikikutafutia Mwanamke Mtulivu utatulia na Kumuoa au?

Jukumu lako Kuu Wewe Mteja (Mgonjwa) akija hapo Dukani (Famasi) Kwako ni kumpa tu Tiba (Dawa) aende zake, na siyo Kumuhoji Kisanifu.
 
Nimecheka zaidi uliposema "Mwanaume aliekamilika ni lazima apate magonjwa ya zinaa mara tatu au nne kwa mwaka"

Ndiyo maana yake Mkuu. Mchezaji yoyote mzuri wa Mpira wa Miguu ni lazima tu na Yeye muda mwingine awe anaonyeshwa Yellow / Red Card pia.
 
Mara kaka si uokoke??
Umepima ukimwi??
Inabidi uje na mwenza wako mtibiwe kwa pamoja,dah netanyau sikuwezi

Niulizie Magonjwa mengine ila siyo UKIMWI kwani nilishathibitishiwa na Madaktari Bingwa kuwa ukiwa na Pumu ( Asthma ) tena ile ya 'Kurithi' pamoja na Damu ya O+ Wewe Virusi vya UKIMWI ( Gitaa la Dally Kimoko ) utakuwa unavisikia kwa Binadamu wengine tu lakini siyo Kwako. Na kwa Kukuhakikishia tu juu ya hili nimeshalala ( tombana ) tena 'Kavu Kavu' na Wadada Watatu 'Walioathirika' lakini kila 'nikipima' Hospitali Kubwa na zenye 'Vipimo' vya Kimataifa na 'Wataalam' wale 'Wabobezi' kabisa 'Mwanamume' GENTAMYCINE nakutwa nipo 'mzima' kabisa wa Afya.

Sasa niigeni 'Mfe' na 'Mpukutike' vizuri!
 
tuige huo uchuro wako
 
Eee,s utakuwa unawachakata sana una bahat sana
 
Back
Top Bottom