Wadada mnaolea ''viben10'' ni nani aliyewaroga?

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,834
155,782
Mwanaume ndio kichwa cha nyumba, wewe unamgeuza mwanaume kuwa pet wako, kama paka au mbwa.

Eti unajitolea kumtunza, kumlisha na kumvisha, hivi wewe dada ni nani hadi unaenda kinyume na agizo la Mungu? Mwanaume aliumbiwa kula kwa jasho, sio kuletewa na mwanamke.

Mwanaume anatakiwa awe na hekima, busara na nguvu, hivyo viben ten havina akili hata moja vinafikiria kunyonya mbunye tu na kupiga gemu, havijui hata bei ya tofali, kamwe hamuwezi kuendelea kwa kugegedana.

Halafu huto tuvulana mnatudhibiti na malimbwata, mama wee, Mungu anawaoneni mnavyowafanyia watoto wa wenzenu na kuwageuza sex slaves.

Endeleeni tu ila yana mwisho
 
Hapana,mimi ni Baba Ubaya.

Mwanamme mtu mzima kuanza kuchunguza mwanamke gani anatembea na nani ni habari za umbeya.

Utazushiwa ki Ben 10 kimekuchukulia mke wako una hasira nacho.

Unae mke wako wewe mwenyewe ambaye hajachukuliwa na ki Ben 10?
Bujibuji kawa pasta siku hizi alikuwa anakemea uovu kama tu ambavyo angekemea wizi. Don't take everything so personal.
 
Hapana,mimi ni Baba Ubaya.

Mwanamme mtu mzima kuanza kuchunguza mwanamke gani anatembea na nani ni habari za umbeya.

Utazushiwa ki Ben 10 kimekuchukulia mke wako una hasira nacho.

Unae mke wako wewe mwenyewe ambaye hajachukuliwa na ki Ben 10?
Huo ni mtazamo wako
 
Bujibuji kawa pasta siku hizi alikuwa anakemea uovu kama tu ambavyo angekemea wizi. Don't take everything so personal.
Mazee,

Anayeingilia maisha ya wenzake na kuanza kuwapangia wawe na wanaume wa aina gani, na wasiwe na wanaume wa aina gani, ndiye anayefanya jambo hili liwe personal.

Yani kalifanya so personal mpaka tunu ya mwanamke anataka kumpangia nani amtunukie na nani asimtunukie.

Mimi ndiye wa kumwambia yeye "don't takeit personal", mimi si wa kuambiwa hilo.
 
Huo ni mtazamo wako
The fact is, wanawake wana uhuru wa kikatiba wa kuamua nani wampe mapenzi yao na nani wasimpe.

Ili mradi hawavunji sheria.

Huu si mtazamo wangu, hii ni katiba ya nchi.

Wewe unayetakakuwapangia watu kinyume na katiba ya nchiinavyosema ndiye unaleta mtazamo wako.
 
The fact is, wanawake wana uhuru wa kikatiba wa kuamua nani wampe mapenzi yao na nani wasimpe.

Ili mradi hawavunji sheria.

Huu si mtazamo wangu, hii ni katiba ya nchi.

Wewe unayetakakuwapangia watu kinyume na katiba ya nchiinavyosema ndiye unaleta mtazamo wako.
Kwani maadili ni nini?
 
Kwani maadili ni nini?

Nikuulize wewe unayehubiri maadili kwa kukandamiza wengine.

Maadili ni pamoja na kuheshimu maamuzi ya wengine ambayohayajavunja sheria, hata kama wewe hufurahii.

Mathalani, mimi sipendi kuvuta sigara, naona ni tabia chafu, inaleta magonjwa.

Lakini kuvuta sigara si kinyume cha sheria, mtu akivuta sigara kwake, sina haki ya kumsema kwamba anavuta sigara.

Wewe hupendi vi Ben Ten kupewa mapenzi na wanawake waliovizidi umri,sawa.

Ila ukumbuke huna haki ya kuwapangia wanawake nani wawape mapenzina nani wasiwape.

Kamavi Ben Ten na wapenzi wao wasivyo na haki ya kukupangia wewe umpe mapenzi nani na usimpe nani.

Ukitaka kufanya hivyo utajionesha unaishi katika ulimwengu uliopitwa na wakati.

Ulimwengu wa mfumodume unaojificha katika chaka la maadili.
 
Mbona unaingilia maisha ya watu braza
Mtu akiamua kukaa na ki ben 10 chake we inakusumbua nini?

Muwaache wanawake wale raha bhana.
Hawa wazee wengine wanafanya watu wafikiri kwamba washachukuliwa vimada wao na vi Ben Ten, ndiyomaana wana hasira navyo.

I mean seriously, mimi Baba Ubaya nina mke wangu tunaishi vizuri, mtaa wa pili mwanamke akichukuliwa na ki Ben Ten inanihusu nini mimi kama si umbea tu?
 
Nakulaje kwa jasho sasa yaan serious niache kula kwa mdomo nile kwa jasho u a not serious buji buji
 
Back
Top Bottom