BradFord93
JF-Expert Member
- Oct 11, 2017
- 910
- 2,164
Ni kweli mkuu ila kwa idadi kubwa now n waganga njaa...!!ukimtongoza tu kesho yake unakuwa dingi....!!Just n kuwa makini tu...!!
Katika sentensi yako ondoa neno wote hapo, wapo wanawake ambao wako fully independent ambao mahusiano kwao sio mradi wa kuombaomba hela. Chagua vyema mwanamke wa kudate nae sio unaokota okota tu