Wadada mmezidi kupiga mizinga (kuomba hela)

Daah! jamani hii ni hatari yaani usimzoee mdada kidogo tu hata hujamtongoza kashaanza kukupiga mzinga mara ninunulie simu, hela saloon, mara weekend twende wapi! mara mama anaumwa naomba uniongezee hela ya dawa.

Kina dada hali yenyewe si mnaiona jamani?

Mbona mnataka tuwe wezi bila kutaka?
Huko Facebook ndio usiseme. NimeshawaUnfriend na Kublock wadada 4 ndani ya wiki 1. Yani anakuomba urafiki, ukimkubali tu anaanza kukusalimia mara kwa mara kijenga mazoea. Hujakaa sawa mara .....dear niongezee 10,000 nina shida nayo!! XPfuuuu....wana tamaa hawa! Sijui wanafikiri tunaziokota? Yan tunaonana kwa maandishi tu na wala sijawaahi hata kukuona kwa macho nikutumie hela kijinga tu, nimelogwa??
 
Nikuambie kitu!
hahahahahha hiyooo msg nimeiona week ilio pita nika jiloga nika jibu sema mamam ila sio ishu za hela. "nilikuwa matusi"
mwingine alinianza vizuri, nikuambie kitu nikasema sema mama "nina nyege mwenzio nahamu na s#$%x nikasema poa wewe tu. "nitumie nauli" nikamwambia usijali nakuja kukuchukua hahhahahaha hakuppokea simu.

Sio poa mwingine akaniomba tena nika mjibu umeona wapi pesa zina tumwa katikati ya mwezi na ilikuwa ndo week ya kwanza akaa kimya akaja kutokea mwisho wa mwezi trh 24 anadai amenimiss kweli
 
Wadada wamekuwa waizi kwa kutumia simu zao. Wanajiita wadangaji. Anaweka vipicha vyake fesibuku huko insta amekaa kihasara kumbe anatega kungoja wazee wa nyege mshindo.

Ukipiga stori mmeshaelewana aje au mkutane sehemu utasikia;

"Basi ntumie ela ntengeeze nywele zangu vizuri hlf naja"

Unajiuliza uyu bila kumwita asingetengeeza izo nywele zake au.

Hapo ujimix utume ela umeumia anazimisha sim au anakubloki mazima.

Hlf ukivikuta vyenyewe vina simu za gharama na kazi havitaki kufanya zaidi ya izo janjajanja
 
Back
Top Bottom