Wadada mjifunze kujistiri

Mbalamwezi1

JF-Expert Member
Dec 20, 2013
2,071
2,010
Nimepiga hii picha nikiwa kwenye daladala leo ebu cheki mdada alivyojiachia kwenye usafiri wa umma-daladala
70296e0b852922ef7f1af17b6d71e5fe.jpg
 
We ulimwomba kumpiga picha?
Kama hukumwomba umefanya kosa. Kumpiga picha bila ridhaa yake na kuitupia ktk umma
Akijua utakamatwa na kushitaki kwa kosa la kuingilia uhuru wa mtu
 
Kafanya vizuri kumpiga Picha ili kuelimisha jamii. Huyo Dada kafamya kosa la kuwasababisha watu wadindishe bila kutaka anastahili kufunguliwa mashtaka.
 
We ulimwomba kumpiga picha?
Kama hukumwomba umefanya kosa. Kumpiga picha bila ridhaa yake na kuitupia ktk umma
Akijua utakamatwa na kushitaki kwa kosa la kuingilia uhuru wa mtu
Picha haina utambulisho wa mtu hyo mkuu,ndo maana sura haionekani!
 
dah kweli wanaume washoka hamna ...wewe wakaa kupiga picha baadala ya kumpigisha maneno ukagegede.
 
Back
Top Bottom