Mbalamwezi1
JF-Expert Member
- Dec 20, 2013
- 2,071
- 2,010
Nimepiga hii picha nikiwa kwenye daladala leo ebu cheki mdada alivyojiachia kwenye usafiri wa umma-daladala
so what? wacha tamaaNimepiga hii picha nikiwa kwenye daladala leo ebu cheki mdada alivyojiachia kwenye usafiri wa umma-daladala
Bujibuji tulia!najua bado unahasira za mamsapu kudukua mawasiliano yako!so what? wacha tamaa
Picha haina utambulisho wa mtu hyo mkuu,ndo maana sura haionekani!We ulimwomba kumpiga picha?
Kama hukumwomba umefanya kosa. Kumpiga picha bila ridhaa yake na kuitupia ktk umma
Akijua utakamatwa na kushitaki kwa kosa la kuingilia uhuru wa mtu
haya bhanaBujibuji tulia!najua bado unahasira za mamsapu kudukua mawasiliano yako!
haya bhanaBujibuji tulia!najua bado unahasira za mamsapu kudukua mawasiliano yako!