Nipe Andiko
Senior Member
- Jan 20, 2017
- 133
- 133
Hivi "my" maana yake ni nini?
Mnatumia jina gani huko mkuu....Huku kwetu Kwamtogole hatulijui hilo neno
mmmmh,Huku kwetu Kwamtogole hatulijui hilo neno
MY...? NI KAULI TATA, MY WHAT?Kwani hupendi my?
Bado tuko kwenye 'mpenzi'Mnatumia jina gani huko mkuu....
My werevaMY...? NI KAULI TATA, MY WHAT?
Hahahah, au "P"Bora mara kumi kuitwa my kuliko umtumie mtu text halafu akujibu K
Yaaan? Mtu.akinijibu hivo hua naquit na kuchat hapo hapoHahahah, au "P"