Wadada kuweni na msimamo Muda mwingine

Kwa ushauri wangu kaka usije ukamsaidia Huyu shetani kuomba msamaha, inatakiwa uwe upande wa rafiki yako ,hakikisha Huyo bibie anapita mbali na jamaa
 
Kitambo hiko nimeenda manyara skuli moja hivi mbulu huko kwenye baridi Kali nilienda kumalizia o level baada ya kua nimekimbizwa moja ya skuli flani kongwe hapa nchini


1
Kufika manyara kulingana na historia ya Aina ya shule niliyosoma na kauwezo kadogo class pisi zikawa zinajiletaleta Katiya hao nikampata mmoja hivi anatoka mara huko alikua black na beauty alikua ananipenda na ilijulikana hivyo na tulikua na malengo ya kuoana lakini ikafika time baada ya kumaliza shule akiwa kwao akapata mshikaji Fulani hv Mimi nikapigwa Chini tena Kwa kupitia Facebook niliambiwa nikaangalie picha make niliachwa Kwa kuoneshwa picha bila maelezo

Sasa day moja Yule manzi akanichek anadai nimsamehe turudiane maisha yaende kama zamani mpaka saiv nimesimika sitaki kuonekana spare tairi kwamba mtu akiachwa anarudi kujishikiza ajabu within a same week jamaa alinichek akiulizia Hali ya Yule manzi ako refer kwamba Ni manzi angu baada ya hapo akaanza kusema manzi alimganda alitoa mimba ake mara amekeketwa nikabaki nashangaa tu mtu alienitafuta kusisitiza niachane kuwasiliana na manzi yake (time ambayo alikua nae manake Yule manzi akiendelea kunichek daily hata akiwa na jamaa na Hilo lilikua tatizo akanimaind na at the same time aliekua anaenitafuta ni manzi mwenyewe) leo anaenitafuta kuelezea ubovu wa manzi hiyohiyo.....ajabu Sana



2
Manzi wa skuli ileile alikua form five Mimi nikiwa form four (nilimuelewa kitambo) aliku mkimya na mtu wa dini kiasi ukitaka kumtongoza lazima ujipange,,,hapa na pale nikapata nafasi ya kupata contact zake tukawa tunawasiliana nikamueleza Mimi ni fulani akaelewa mapema kwa sababu nilikua nakipiga kwenye timu ya shule tukawa tumeanza mahusiano
Kumbe yeye time Ile ana date na wahuni wengi kinyama na Muda huo najibana hizi 20k na 30k namtumia ilifika time nikashtuka Sana akawa anataka tuachane Kwa makosa yasiyoeleweka Yani hata ukimipigia sim Sana Hilo linakua kosa, ALINIACHA KWA LAZIMA TENA SIKU MONA KWA KUNIAMBIA KWAMBA SIONI MAZINGIRA KWAMBA HAYAONESHI KWAMBA NINA NAFASI KWAKE ILINITESA SANA KITAMBO IKO ilaMungu si athuman anajua kuumbua aisee kikafika kipindi akawa mpole ananichek ananibembeleza Sana turudiane na Mimi nikakubali within the same wiki akanimbia kimsaidie kufuta account yake ya Facebook nikakubali Ku log in kwenda kwenye texts nilichoona nikagundua huyu mwanamke anasema ni mwana maombi mlokole halisi nikajua uongo (toka hapo walokole wengi nawaona kama wanafiki Tu) nilikutana na picha zake za uchi kutoka kwenye account isiyo na jina official yaani imenadikwa Facebook user ikiwa na picha zimeeditiwa jina na namba za simu zimewekwa pale kwamba Mimi Fulani namba 0784....... Najiuza hapo ndio sikuwahi kuelewa tena Yule manzi na wale watu walikua wamemgeuza kitega uchumi awarukie pesa ili wazisisambaze zile picha alikua analia kama mbwa Koko na mbaya zaidi mwanzo mbele yangu akawa anakana anasema sio yeye mara wameedit mara rafiki zake walimpiga bila kujua mwisho akakubali akipiga akatuma Kwa mtu aliekua amekutana nae Facebook baadae wakahamia watsApp kilichofuata nilimsaidia ule msala ukaisha kibabe Sana then nikampotezea na mpaka leo ananisumbua Sana nimrudie pamoja na kwamba anajua Nina manzi tena mkali kuliko yeye lakini bado ananisuumbua na sina time nae imebaki keep ya kunipigia sim daily na kuntext daily
 
Back
Top Bottom