Wadada: Kuweni makini na teknolojia

Juzi kati kuna mfanyakazi mwenzangu mdada aliniletea "external" yake baada ya mimi kua nimemuomba movies na yeye kudai ana ma series ya kufa mtu. Huyu binti ni mtu na heshima zake, hatuna urafiki kivile zaidi ya kuonana tu kazini mara kwa mara.

Sasa baada ya ku connect ile external nikamuuliza movie ziko wapi akaniambia "we pekua pekua umo kwenye ma folda" yeye akasepa. Basi na mimi nikaanza kupekua pekua nikapata nyingi tu. Katika ile pekua pekua kuna folda moja likanivutia limeandikwa "pix", nikaona acha wakati nasubiria imalize ku copy, niwe naperuzi humu. Hilo folda inaonekana alilikopi kama lilivyo kutoka kwenye simu.

Kisa cha kutoa ushauri huu ni aina ya picha nilizozikuta ndani ya hilo folda! Ofkoz kulikua na picha nyingi za kawaida, ila kuna picha chache ambazo zilinipa mawazo sana. Nyingi kati ya picha hizo ni picha alizojipiga yeye mwenyewe ama akiwa mbele ya kioo, au akiwa kitandani nadhani chumbani kwake. Aisee kuna picha yupo kama alivyozaliwa, nyingine kapiga kwa nyuma kajibinua, nyingine kaji selfie, nyingi kavaa nguo za ndani tu au night dress nyepesiii.

Kwakweli mi niliogopa sana! Nikiangalia picha zake nyingine, anaoneka ni binti mwenye familia nzuri tu kuna picha yupo na wazazi wake wanaonekana watu wastaarabu sana. Nikasema hivi huyu hizi picha anajua zipo humu? Hii external anawaazima watu wangapi? Je, siku mtu asie mstaarabu kama mimi akiziona itakuaje? Basi nikaamua kuzi cut na ku paste kwenye external yangu ambayo ni salama zaidi.

Niwashauri tu wadada muwe makini sana na hizi simu ni hatari sana hasa kama hujui jinsi ya ku protetc vitu kama picha nk. Hii ni mara karibu ya 3 nakuta picha za ajabu ajabu kwenye simu za wadada

Asanteni.
Alikutega hyo NYEGE mbaya mzee wang
 
Mchongo mzima kawaulize mafundi simu sema mafundi simu ni watu professional Sana hawana mambo mengi zaidi ya kuangalia hela tu .

Yaani utakuta mdada anakuletea simu yake kavunja touch screen ....unamuomba password anakupatia bila hata pingamizi Wala maswali ....unambadilishia tach yake yeye akiwa hayupo na simu kakuachia na kuniuliza tu aje kuchukua saa ngapi...? Basi ukitengeneza unaendelea kuiperuzi na kuona mambo yake yote ila ndio hivo ili usipoteze mteja unakaa kimya inakua Siri yako na mteja .... Yaani utajua wanaume wanae hangaika nae ....utajua mabwana anao wakubali na anao wapiga tu....picha za utupu ndio usiseme
 
Basi nikaamua kuzi cut na ku paste kwenye external yangu ambayo ni salama zaidi.


aiseeh nchi ina mambo hii
 
Unaugua udomo zege mkuu😂
Kipindi nipo chuo nilikuwa na ukaribu kidogo na wadada watu wazima waliokuja kuongeza elimu ilikuwa kawaida kupiga piga stories za kijinga kijinga maana walikuwa free sana wakiwa na sisi
Sasa siku moja nilikuwa na mdada mmoja cafeteria tunapiga stories za kawaida mm nikiwa nakula yeye anasubiria zege liiive akaanza story za ajabu kwamba kuna porno ameiangalia mbususu ya mjamzito alienda clinic ikapigwa na Doctor akanipa simu niangalie sasa akawa amedownload nyingi tukaendelea kupiga stories huku naangalia sasa yeye ikabidi afuate zege na soda niaendelea Ku scroll tuu nikafika video zake alizo record aisee ametegesha camera anaanza kucheza anadondosha nguo moja moja akaanza na kanga akabaki na chupi baadae chupi kavua ikabaki mbususu alaf kanyanyua kiuno kaisogeza karibu kabisa na camera aisee alaf anakata mauno hatari sana mwanamke wa Tanga alivyorudi nikampa simu yake akala tukarudi class na hakujua kama nimeona mzigo
Sasa ndo nikaanza kumtamani rasmi lakn sikufanikiwa kumwomba mzigo
 
Unaambiwa ukipewa Simu uangalie picha,angalia picha na urudishe Simu ya watu chap...sio unaperuz left to right & vice versa.

Hapo ndipo tunapofeli.
 
Chuo kuna dem nilimuomba anirushie movie kwa sender sasa tunavochagua movie zkaonekana na video zake sasa udende ukaangukia kwenye kioo baada ya kuziona alicheka kinoma jioni yake nikala mzigo ssa wewe endelea kushangaa shangaa
 
Back
Top Bottom