Hivi nyie wadada/ wamama mnaoenda kusafisha kucha mmevaa nguo fupi huwa mnataka nini?

Namkunda OG

JF-Expert Member
Nov 17, 2015
827
1,048
Habarini wakuu.......
Hivi nyie wadada/ wamama mnaoenda kusafisha kucha mmevaa nguo fupi huwa mnataka nini?.......
Yani nimepita hapa makoroboi kuna mmama mtu mzima tu yani anasafishwa kucha kavaa bonge ya mini ,mapaja yote yako wazi alafu kakaa sehemu ya wazi kila anayepita anamuona ......
Siyo poa! Tubadilike
 
ndio maana waosha kucha wanawala sana kuna mshikaji wangu pale mwenge amewala madada wengi sana
 
Habarini wakuu.......
Hivi nyie wadada/ wamama mnaoenda kusafisha kucha mmevaa nguo fupi huwa mnataka nini?.......
Yani nimepita hapa makoroboi kuna mmama mtu mzima tu yani anasafishwa kucha kavaa bonge ya mini ,mapaja yote yako wazi alafu kakaa sehemu ya wazi kila anayepita anamuona ......
Siyo poa! Tubadilike
embuu achaa na sisi tufaidi bana, waendelee kuvyaa tu.haya upite hapa tunapouza vijimtumba na kiblauzi chako kizuri mteja
 
Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom