Hivi nyie wadada/ wamama mnaoenda kusafisha kucha mmevaa nguo fupi huwa mnataka nini?

Na wewe ulishaona
.
9a1a5fd5809ad48ae12e52333f9e9900.jpeg
 
Bro training ya hii vitu ni wapi?? Naataka na ile ya kuwapaka mafuta mapajani.

Vyeti tunapiga kibirit kabisa
Piga kibiriti..Mi nilishavichoma tangu nianze biashara ya vifuniko..

Training tunaanzia kwa wake zetu..Haina haja ya kupoteza pesa..

Yeah..Tufungue na Massage center
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom