Wadada jamani nikiwa kwa miguu pia mnipage basi tabasamu kama nikiwa nadrive

mbere

JF-Expert Member
Mar 5, 2015
6,969
6,460
Hivi wadada? Kwanini msiwe mnanikenulia na kunipa hiii!!!! nikiwa kwa miguu tu?
Mna nini wadada? Please naitaji smaile zenu pia nikiwa kwa miguu
Please
Ni matarajio yangu kuwa ombi langu litakubaliwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom