Wadada hivi ni kweli unaweza kula pesa za mwanaume na asione hata paja?

Halloo baby Mambo vipi"
Poa nambie"
Safi tu mpenzi wangu mzima lakini ??
Me mzima hila?"
Hila nini prince wangu"
Naumwa beby"
Jamani pole unaumwa nini?
Naumwa JINO linanisumbua sana"
Dah pole kipenzi toka lini?
Leo nimemaliza wiki"
Duh pole sana baba afu prince nikwambie kitu
mme wangu"
Ndiyo nambie"
Mwenzio nataka hela ya kusuka na
yakwendea shopping? kesho"
Oooh shngap?
ELF HAMSINI TU"
Duh nilikuwa nayo sasahvi ila nimemtumia
mama anaumwa"
Mh jamani hauna ata buku hapo"
Yaani sina nina tsh. mia tu lbda uijie ukale
kitumbua"
Pumbavu wewe kuanzia leo sitaki mazoea
tena futa namba yangu mjinga wewe bahili
mkubwa wewe"
Hata mimi sikutaki hila unajipendekeza jitu
unapenda hela utafikili we benki bana muone
sura gumu utafikilia magwaji nyooooooo"
Samahani prince nilikuwa nakutania
nakupenda mwaa"
Namimi nilikuwa nakutania baby mwaaa
 
Cheki nilivyomjibu
Screenshot_20181014-224815.jpg
Screenshot_20181014-224824.jpg
Screenshot_20181014-224847.jpg
 
Always mizinga kwannza sio unigonge bure usepe
Hapo ndo mnapokosea,unakuta dem amekupa namba asubuh jion ananza kukuambia shida zake...mnatakiwa mtusome kwanza hela itakuja baadae mpaka we utafurah!
 
She will be more attracted to you if you get her an iPhone and a macbook,ladies have been attracted to apples since the garden of eden
 
Back
Top Bottom