Wadada hivi huku ni kujiuza au kutuonea huruma?

BabaMorgan

JF-Expert Member
Dec 18, 2017
4,040
10,459
Kweli teknolojia imeleta easy access ya kila kitu. Saa hivi siyo kutongoza bali ni kusema unachohitaji. Ukitongoza mwanamke anaona kama unamsumbua siku hizi wanasema najua unachotaka niandalie pesa ya nauli nakuja kukupa unachotaka.

Note: hao ni wadada naokutana nao huku mtaani sio wa hapa JF wa humu jukwaani ni strong women wasio pagawa na vichenji vya mboga.
 
Kila mtu ana tabia yake, umejaribu kuukwepesha ukweli lakini sie tulioko humu ndo tuko mtaani! Hatuko sayari nyingine!

Halafu sio kwamba mnaonewa huruma, kila shetani na mbuyu wake! Na zaidi ndege wanaofanana huruka pamoja!
 
Kwamba walio JF hawapo mtaani...au JF ipo sayari nyingine mkuu?
Humu Jf nimejaribu kwenda kwenye Pm za wadada wengi hakuna nilichopata ndo maana nikahitimisha kwa kuandika wadada wa Jf ni strong wana misimamo.
 
Kila mtu ana tabia yake, umejaribu kuukwepesha ukweli lakini sie tulioko humu ndo tuko mtaani! Hatuko sayari nyingine!

Halafu sio kwamba mnaonewa huruma, kila shetani na mbuyu wake! Na zaidi ndege wanaofanana huruka pamoja!
Kweli? Basi mkiwa humu jukwaani mnakuwa tofauti na mtaani.
 
Kweli teknolojia imeleta easy access ya kila kitu. Saa hivi siyo kutongoza bali ni kusema unachohitaji. Ukitongoza mwanamke anaona kama unamsumbua siku hizi wanasema najua unachotaka niandalie pesa ya nauli nakuja kukupa unachotaka.

Note: hao ni wadada naokutana nao huku mtaani sio wa hapa JF wa humu jukwaani ni strong women wasio pagawa na vichenji vya mboga.
Hali ya maisha imekua ngumu sana,ndio maana wanajirahisisha sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom