UseName: Natalia
JF Senior Expert Member
Join Date : 3rd July 2011
Posts : 880
Rep Power : 549
Likes Received 198
Likes Given 0
Dada tangia ujiunge hapa haujawahi kufurahisha na mchango wowote? Likes Given 0. Napata wasiwasi kama kweli unajali wewe!
Stop stalking me and you did stole my password .i changed it and now your desperate.I'm to have fun none of this adds anything in my life .mind your business and if you think your smart than anybody well why are you here ?stealing peoples password that is what you do get a life .Its me Natalia
sio lazima uvae nguo mchezee mmeo all the best
weka picha wewe natalia!
Sio lazima uvae nguo mchezee mmeo all the best
Picha ya nini LOVE IS BLIND!!!!!!!!!
jamani changieni uzi acheni mambo mengine! mmeambiwa msivae nguo, muwachezee waume zenu" sipati picha mie na huu ubapa wangu eti nipo uchi mpaka ofisini kwa hubby!! watasema ni ule msukule wa lamadi bureeee, Kongosho njoo ASAP nieleweshe hapa, maana shule za kata ziliharibu ubongo pasi na kujua! lol!

Hapo penye bold labda alikuwa anamaanisha wanawake siyo lazima wavae nguo wakiwa ktk mazingira ya nyumbani na wakati huo wawachezea waume zao kuongeza mapenzi! Je ktk hali ya kawaida inawezekana kutembea bila nguo?
Kwa mtazamo wangu si wazo baya kwa wadada, huenda hii itasaidia wanaume tusiwachoke wake zetu kama ndugu yangu Mpungati alivyomchoka mkewe na kuamua kutembea na mke wa rafiki yake. Inawezekana mkewe kakosa ubunifu kama huu! Hapa msininukuu, nafikiria kipuuzi tu. Lakini ukweli ni kuwa huyu ndugu yangu popote pale alipo namshauri aache hiyo tabia na kumpenda mkewe maana kuna hatari ya mabaya kumkuta!
Stop stalking me and you did stole my password .i changed it and now your desperate.I'm to have fun none of this adds anything in my life .mind your business and if you think your smart than anybody well why are you here ?stealing peoples password that is what you do get a life .Its me Natalia
......nyumba zenyewe za uswahilini hizi mmmmh...........