Wachunguzi: Jamhuri ni nani tunayesalimu kwa jina lake?

kweli elimu yetu haina manufaa tena inabidi serikali itafute namna ya kuazima walimu kutoka mataifa makubwa ili waturekebishe, sasa hivi hata kiswahili watu wamekiharibu sana ya R na L zinachanganywa ili hali kuna baraza la kiswahili vile vile kuna kitengo pale mlimani cha kuratibu hii lugha na wamekaa kimya. ukienda vyuo vikuu nako madudu.... why??????
 
Yaani katika sehemu ambayo hayati aliwin ni kujiweka karibu na watu wenye K K K (sina maana ya kuwadharau) na kuwaaminisha mambo mengine ya ajabu. Yaani kabisa unalaumu watu kufuata taratibu za kisayansi? Okey. Kuhusu salam mkuu una hiyari ya kuitikia au usiitikie. Ila mimi KAZI IENDELEE.
 
Tanzania ni Nchi inayoongozwa na wanadamu ambao wameumbwa na Mungu na wanapata nguvu ya kuongoza na kutawala kutoka kwa mwenyezi Mungu aliyewaumba. Hii bila ubishi wala majivuno wala matambo.

Mkuu wa nchi ana nafasi kubwa sana ya kuwafanya wananchi wake wamtegemee Mungu au wasimtegee Mungu bali wazitegemee akili zako. Tunaweza kukubaliana kama tulivyokubaliana tangu zamani kuwa serikali haina dini lakini hatuwezi kamwe kukubaliana kwamba Serikali haina Mungu.

Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mh Samia Suluhu baada tu ya Kuapishwa kuongoza nchi yetu baada ya Hayati Magufuli kufariki ameibuka na salamu mpya kabisa ambayo anaitumia kuwasalimia wananchi na viongozi wa serikali yake nanukuu “NAWASALIMU KATIKA JINA LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA”

Hii sio salamu ni dhihaka kubwa sana ambayo kama haitasitishwa basi kuna siku Mungu ataikinai na wananchi wataichoka na hapo itabidi tuegeshe jahazi kama sio kubadilisha nahodha.

Wachunguzi wa mambo tunahoji; Huyu Jamhuri ya Muungano ambaye rais anatumia jina lake kutusalimia ni nani? Wakiristo wamezoea kusalimiana katika jina la Yesu huku wakiitikia AMINA na Waislamu wakitumia As-salamu alaykum huku wao wakiitikia Wa alaykumu s-salam. Je, huyu Jamhuri ya muungano ni sawa na Yesu wa wakristo au Allah wa waislamu?

Je, tunaweza naye kumwamini kwamba atatuvusha katika matatizo na shida tulizonazo kama wakristo wanavyofanya kwa Yesu au waislamu wanavyofanya kwa Allah? Je, huyu Jamhuri ameanza lini hii kazi na kabla ya hapo alikuwa wapi maana hatukuwahi kumsikia akitajwa kwa utukufu namna hii?

Tangu salamu hii imeanza kuna baadhi ya mambo yameanza kutokea na hapa tumeona tuchunguze machache yake:

Jamhuri amekuja na barakoa na social distancing ambazo kwenye awamu ya sita tulizitupilia mbali na kumwamini Mungu na kweli alitusaidia na dunia ilistaajabu jambo hilo.

Jamhuri amekuja na ujambazi na uporaji wa kiwango cha juu sana vitu ambavyo tulikuwa tumesahau kabisa kama huwa vipo.

Jamhuri anataka kutuletea chanjo, tudungwe vitu tusivyovijua kisha tuitikie kazi iendelee. Tulijua alikuwa anamsadia hayati Magufuli kulinda na kutetea wananchi wa Tanzania lakini dalili za kutaka wananchi wapewe chanjo zinafanya tuhoji kama kweli salamu hii yenye jina la Jamhuri inafaa kweli kwetu.

Wachunguzi wa mambo tunahoji ripoti ya uchunguzi wa chanjo ya Corona kama inafaa kutoa mwelekeo wa serikali katika kuwaamulia wananchi wetu.

Ni tafiti zipi alizotumia Rais Mwinyi wa Zanzibar kuhalalisha chanjo kwa wananchi wa Zanzibar? Je, Rais amekutuma uanze wewe kisha apime upepo ukoje kabla ya kuwadunga wananchi wa bara? Je, mmejiandaa na matokeo baada ya kuwachoma watu hivyo vyuma mwilini? Je, mko tayari kujibu mbele ya aliyewaumba sababu zilizowapelekea kufanya hivyo?

Ukitaka kumuua nyani usimwangalie usoni. Bila shaka mmetumia mbinu hii kwa kujificha kwenye salamu ya jamhuri ambayo kwa hakika mnajua haina Mungu ndani yake. Mmeona mtumie jina la Jamhuri kuleta chanjo kwa watu ambao walitumia jina la Mungu na wakashinda.

Bado kuna ya kujirekebisha kwenye mambo mnayotaka kufanya kwa watu wa Mungu; hakuna faida yoyote mtakayopata kwa kuwauza wananchi na kuwakumbatia watu ambao tangu asili hawana nia njema na sisi.

HATUTAACHA KUHOJI NA KUCHUNGUZA MAMBO.

NISAIDIENI SANA KUMTUMIA UJUMBE HUU RAIS WA TANZANIA, MH SAMIA SULUHU HASSAN. TUNAMPENDA NA HIVYO ARUDI KWENYE MSATARI HARAKA SANA.

Wachunguzi wa Mambo
CCM ni ile ile pumbavu zenu mtakoma mlijifanya wanaccm kindaki ndaki kumbe ni wanamagufuri shenzi zenu.
 
Holy Crap, umeandika Utumbo

Nyie Mlifikia Hatua ya Kumfananisha Jiwe na Yesu, Mkaenda Mbali kumuamuru Mungu eti amshukuru Jiwe, Mkamchonganisha Jiwe na Mungu maana hakuwakemea waliokuwa wanamfananisha naye, Jiwe hakumrudishia Mungu utukufu wake.

Matendo Ya Mitume 12:21-23

21 Siku ya hao wajumbe kumwona mfalme ilipofika, Herode alivaa mavazi rasmi ya kifalme akaketi juu ya kiti chake cha enzi akaanza kutoa hotuba.
22 Alipokuwa akihutubu watu walimshangilia, wakapiga kelele wakisema, “Hii ni sauti ya Mungu! Sio sauti ya mwanadamu!”
23 Mara malaika wa Bwana akampiga Herode; akaliwa na funza akafa kwa sababu hakumpa Mungu utukufu.
Hapo na wewe umesema uongo
Nikiongozi gani aliyekuwa akisema kila siku "mtangulizeni Mungu, niombeeni"
 
Pumbavu mkubwa wewe Toka hapa
Umeandika utumbo wa mavi
 
Yaani katika sehemu ambayo hayati aliwin ni kujiweka karibu na watu wenye K K K (sina maana ya kuwadharau) na kuwaaminisha mambo mengine ya ajabu. Yaani kabisa unalaumu watu kufuata taratibu za kisayansi? Okey. Kuhusu salam mkuu una hiyari ya kuitikia au usiitikie. Ila mimi KAZI IENDELEE.
Hivi yule jamaa alikuwa anatumia uchawi kuroga watu maana hii sio akili ya kawaida watu waliaminishwa ujinga na wakaukubali hadi wasomi
 
JAMUHURI NI KUBWA KULIKO JIWE NA VIKUNDI VYOTE VIOVU!!!
WACHINA WANAIPENDA JAMUHURI YAO KULIKO WANAVYO WAPENDA MAMA ZAO!?
JAMUHURI INA VYOMBO VYA DOLA NDIVYO VINA KUSIMAMIA PINDI UNAPO MUAMINI MUNGU WAKO!!!

NINA KUSALIMIA KATIKA JINA LA JAMUHURI YANI JAMUHURI NDIO MZIZI MKUBWA KULIKO YOTE!
 
Tanzania ni Nchi inayoongozwa na wanadamu ambao wameumbwa na Mungu na wanapata nguvu ya kuongoza na kutawala kutoka kwa mwenyezi Mungu aliyewaumba. Hii bila ubishi wala majivuno wala matambo.

Mkuu wa nchi ana nafasi kubwa sana ya kuwafanya wananchi wake wamtegemee Mungu au wasimtegee Mungu bali wazitegemee akili zako. Tunaweza kukubaliana kama tulivyokubaliana tangu zamani kuwa serikali haina dini lakini hatuwezi kamwe kukubaliana kwamba Serikali haina Mungu.

Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mh Samia Suluhu baada tu ya Kuapishwa kuongoza nchi yetu baada ya Hayati Magufuli kufariki ameibuka na salamu mpya kabisa ambayo anaitumia kuwasalimia wananchi na viongozi wa serikali yake nanukuu “NAWASALIMU KATIKA JINA LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA”

Hii sio salamu ni dhihaka kubwa sana ambayo kama haitasitishwa basi kuna siku Mungu ataikinai na wananchi wataichoka na hapo itabidi tuegeshe jahazi kama sio kubadilisha nahodha.

Wachunguzi wa mambo tunahoji; Huyu Jamhuri ya Muungano ambaye rais anatumia jina lake kutusalimia ni nani? Wakiristo wamezoea kusalimiana katika jina la Yesu huku wakiitikia AMINA na Waislamu wakitumia As-salamu alaykum huku wao wakiitikia Wa alaykumu s-salam. Je, huyu Jamhuri ya muungano ni sawa na Yesu wa wakristo au Allah wa waislamu?

Je, tunaweza naye kumwamini kwamba atatuvusha katika matatizo na shida tulizonazo kama wakristo wanavyofanya kwa Yesu au waislamu wanavyofanya kwa Allah? Je, huyu Jamhuri ameanza lini hii kazi na kabla ya hapo alikuwa wapi maana hatukuwahi kumsikia akitajwa kwa utukufu namna hii?

Tangu salamu hii imeanza kuna baadhi ya mambo yameanza kutokea na hapa tumeona tuchunguze machache yake:

Jamhuri amekuja na barakoa na social distancing ambazo kwenye awamu ya sita tulizitupilia mbali na kumwamini Mungu na kweli alitusaidia na dunia ilistaajabu jambo hilo.

Jamhuri amekuja na ujambazi na uporaji wa kiwango cha juu sana vitu ambavyo tulikuwa tumesahau kabisa kama huwa vipo.

Jamhuri anataka kutuletea chanjo, tudungwe vitu tusivyovijua kisha tuitikie kazi iendelee. Tulijua alikuwa anamsadia hayati Magufuli kulinda na kutetea wananchi wa Tanzania lakini dalili za kutaka wananchi wapewe chanjo zinafanya tuhoji kama kweli salamu hii yenye jina la Jamhuri inafaa kweli kwetu.

Wachunguzi wa mambo tunahoji ripoti ya uchunguzi wa chanjo ya Corona kama inafaa kutoa mwelekeo wa serikali katika kuwaamulia wananchi wetu.

Ni tafiti zipi alizotumia Rais Mwinyi wa Zanzibar kuhalalisha chanjo kwa wananchi wa Zanzibar? Je, Rais amekutuma uanze wewe kisha apime upepo ukoje kabla ya kuwadunga wananchi wa bara? Je, mmejiandaa na matokeo baada ya kuwachoma watu hivyo vyuma mwilini? Je, mko tayari kujibu mbele ya aliyewaumba sababu zilizowapelekea kufanya hivyo?

Ukitaka kumuua nyani usimwangalie usoni. Bila shaka mmetumia mbinu hii kwa kujificha kwenye salamu ya jamhuri ambayo kwa hakika mnajua haina Mungu ndani yake. Mmeona mtumie jina la Jamhuri kuleta chanjo kwa watu ambao walitumia jina la Mungu na wakashinda.

Bado kuna ya kujirekebisha kwenye mambo mnayotaka kufanya kwa watu wa Mungu; hakuna faida yoyote mtakayopata kwa kuwauza wananchi na kuwakumbatia watu ambao tangu asili hawana nia njema na sisi.

HATUTAACHA KUHOJI NA KUCHUNGUZA MAMBO.

NISAIDIENI SANA KUMTUMIA UJUMBE HUU RAIS WA TANZANIA, MH SAMIA SULUHU HASSAN. TUNAMPENDA NA HIVYO ARUDI KWENYE MSATARI HARAKA SANA.

Wachunguzi wa Mambo
Akili yako ni nusu
 
Hivi yule jamaa alikuwa anatumia uchawi kuroga watu maana hii sio akili ya kawaida watu waliaminishwa ujinga na wakaukubali hadi wasomi
Kuna namna mzeee wetu alikuwa anatumia sio bure.
Ila mimi nina furaha sana nikiona wale waliokuwa wanaimba mapambio na wao wanateseka aisee dah hii dunia iko fasta sana.
 
Believe it or don't, una Matatizo akilini.
 
Back
Top Bottom