Wachungaji walokole nashauri muache tabia hii haraka sana

Njemba Soro.

JF-Expert Member
Oct 5, 2013
3,246
5,756
Habari wapendwa.
Kuna hii tabia hawa wahubirio kanisani kudhani kuwa kila muumini pale anajua kiingereza. Nashauri mkihubiri mtumie lugha inayoeleweka kwa kila aliyepo pale, zaidi ya hapo hakika ni kelele tu. MFUNDISHE MTU AELEWE, NA SIYO KUJIFANYA UNAJUA LUGHA NYINGI. Tumieni lugha rahisi. JUZI JUMAPILI NIMEONDOKA KWENYE IBADA BAADA YA KUKERWA NA KELELE ZA KIINGEREZA CHA MHUBIRI.
 
MKUU SEHEMU ZENYE MKUSANYIKO WA WATU WENGI KUNA WENGINE PIA WASIOJUA LUGHA RASMI YA ENEO HILO.,NDO MANA MCHUNGAJI ANACHANGANYA NA LUGHA PIA.
AU KAMA VIPI AJIRI MCHUNGAJI WA PEKE YAKO
 
Habari wapendwa.
Kuna hii tabia hawa wahubirio kanisani kudhani kuwa kila muumini pale anajua kiingereza. Nashauri mkihubiri mtumie lugha inayoeleweka kwa kila aliyepo pale, zaidi ya hapo hakika ni kelele tu. MFUNDISHE MTU AELEWE, NA SIYO KUJIFANYA UNAJUA LUGHA NYINGI. Tumieni lugha rahisi. JUZI JUMAPILI NIMEONDOKA KWENYE IBADA BAADA YA KUKERWA NA KELELE ZA KIINGEREZA CHA MHUBIRI.
alikuwa labda ananena kwa lugha mkuu
 
Ahahahahah...Haya bana..
Kukaa kimya nako ni hekima..Ila wanaboa sana.Hii kitu pia sijawah kuipenda kabisa

Mke wangu ni kiongoz kanisan na alikua ana tabia hii.Kila ibada ikiisha tukirud home lazima nimshushie rundo la lawama kwa kuongea kingereza mbele za watu ambao wengine sio wasomi.Nashusha lawamaaa kwa niaba ya watu nisowajua halaf jumapil ijayo nakaa mbele mbele akisimama tu kuongea tunagongana macho.ukawa ndio mwendo huo weekly

Aahahah.Alishaacha hii tabia siku hizi.

Ahahahahahahahahahah
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom