Wachungaji na Makanisa: Je, hii ni kweli? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wachungaji na Makanisa: Je, hii ni kweli?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mdau, Jan 5, 2010.

 1. Mdau

  Mdau JF-Expert Member

  #1
  Jan 5, 2010
  Joined: Mar 29, 2008
  Messages: 1,718
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  Nimebahatika kutembea at least nusu ya mikoa yote ya Tanzania,apart from Pemba na Unguja,karibu miji mingine mikubwa yote ya Tanzania bara niliyopata kufika imejaa utitiri wa makanisa,huku karibu kila kanisa likiwa na Mchungaji-Mwanzilishi.....swali langu ni kwamba,je ni kweli kwamba Wachungaji wengi wanaanzisha makanisa maeneo ya mjini kwa sababu ya urahisi wa kupata sadaka na michango mingine???
   
 2. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #2
  Jan 5, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 32,251
  Likes Received: 15,040
  Trophy Points: 280
  Vijijini ndiko kuna waumini wengi kuliko mijini
   
 3. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #3
  Jan 5, 2010
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Tusiwalaumu watu wa Dini nao wakale wapi? Fedha yote kwa wanasiasa na mafisadi wa Serikalimi.
   
 4. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #4
  Jan 5, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 23,993
  Likes Received: 2,714
  Trophy Points: 280
  kondoo humtambua mchungaji wao, nae hulitambua kundi lake
   
 5. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #5
  Jan 5, 2010
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,904
  Likes Received: 281
  Trophy Points: 180
  Swali lako ni very wide.
  Ni sawa na mtu anayeingia Tanzania kwa mara ya kwanza na kuuliza "hivi waTanzania wote nia wana ccm"
  Makanisa yako ya aina mbali mbali, kuanzia ya Kikatoliki ambalo ni kanisa kubwa zaidi duniani , hadi yale ya kiprotestanti, yaani KKKT na Anglican.
  Vilevile kuna yale ya kileo yanayoitwa ya kiroho.
  Sasa mkuu utafiti wako hauko complete na si rahisi kwako kudraw conclusions bila data kamili.
   
 6. Juma Contena

  Juma Contena JF-Expert Member

  #6
  Jan 5, 2010
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 1,195
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  vya kaizali muachie kaizali; hili sasa ni swali lenye direct uchokozi. sijiui lini tutakua.
   
 7. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #7
  Jan 5, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,033
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Nyumba zote za ibada kubwa, nzuri iwe makanisa au misikiti ziko mijini where there are big fish. kwani wewe unasali msikiti au kanisa la kijijini?

  for your info watu wanasomea hizo kazi............
   
 8. bm21

  bm21 JF-Expert Member

  #8
  Jan 5, 2010
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 774
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Nahisi haya yakileo/kiroho ndio mengi mijini relative to kijijini kwasababu mitumi na manabii hupatikana mijini na sio kijijini.
   
 9. Glucky

  Glucky Senior Member

  #9
  Jan 5, 2010
  Joined: Dec 16, 2009
  Messages: 121
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  jamani kumbukeni hata kwenye Bible imeandikwa Siku za Mwisho watakuja manabii wa uongo wakisema mimi ni kristo ila msiwafuate.
   
 10. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #10
  Jan 5, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,830
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  wakosaji wengi wako mijini na wanaungama kwa kutoa sadaka nyingi wakidhani pesa mbele ya mungu inaondoa dhambi, na wachungaji wanatake hiyo advantage
   
 11. Mdau

  Mdau JF-Expert Member

  #11
  Jan 7, 2010
  Joined: Mar 29, 2008
  Messages: 1,718
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  ahsante mkuu......namaanisha haya ya kiroho.....
   
 12. Mdau

  Mdau JF-Expert Member

  #12
  Jan 7, 2010
  Joined: Mar 29, 2008
  Messages: 1,718
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  are you serious mkuu!! hivi hujui kwamba dini zinatakiwa ziwe miongozo ya maisha???
   
 13. Mdau

  Mdau JF-Expert Member

  #13
  Jan 7, 2010
  Joined: Mar 29, 2008
  Messages: 1,718
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  mkuu,nashukuru,ila uchokozi huu ni wa kufikirisha bongo zetu zaidi na si kuharibu.......una kanisa la kiroho??
   
 14. Mdau

  Mdau JF-Expert Member

  #14
  Jan 7, 2010
  Joined: Mar 29, 2008
  Messages: 1,718
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  mimi ni muumini huru,naamini uwepo wa Mungu......nasali popote ndugu yangu..
   
 15. K

  Kashishi yetu JF-Expert Member

  #15
  Jun 5, 2014
  Joined: Mar 22, 2014
  Messages: 1,213
  Likes Received: 382
  Trophy Points: 180
  Ndugu Zangu, Baada Ya Kuona Wachungaji Uchwara Mahubiri Yao Yenye Kusisitiza Utoaji Wa Sadaka Na Zaka Zaidi, Hadi Kupelekea Kuacha Namba Zao Za M-pesa Na Akaunt Namba Zao Ili Wachangiwe Mamilion Ya Pesa Badala Ya Kuacha Mistari Ya Bibilia, Ninataka Nianzishe Namimi Kanisa Jipya.Wakuu Mnaonaje? Mfano Gwajima Kanisa Lake Linamuingizia Mamilioni,kapata Hammer Kwa Njia Ya Kanisa.
   
 16. A

  Albosignathus JF-Expert Member

  #16
  Jun 5, 2014
  Joined: Apr 26, 2013
  Messages: 4,824
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  fanya ile usije kukwapua wake za watu.
   
 17. PAPA OBAMA

  PAPA OBAMA JF-Expert Member

  #17
  Jun 5, 2014
  Joined: Dec 27, 2013
  Messages: 204
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  utafiti wako elekeza na huku bar nyingi za kisasa ziko mijini mbona vijijini hakuna
   
 18. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #18
  Jun 5, 2014
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 27,764
  Likes Received: 6,568
  Trophy Points: 280
  Chonde chonde na wake za watu..
   
 19. b

  bategereza JF-Expert Member

  #19
  Jun 5, 2014
  Joined: Dec 26, 2013
  Messages: 3,339
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Kuna huyu kiongozi mmoja mshenzi sitamtaja jina lake linaanzia gwa. mbwa huyu ni bingwa wa kuchukua wake za watu na viwanja vyao. kwanza kavunja ndoa ya mtu na kumdhulimu shamba. pili kavunja ndoa na kuzaa na mke wa mgeni fulani. Tatu anaendelea kumgegeda mdada maarufu jina lake linaanzia mba. na ndoa iko hati hati. HUYU NAYE TUMWITE MZINZI AU MUASHERATI AU MLEVI NGONO AU MCHANGANYAJI ? HIVI haogopi ukimwi. mke wake nae ....ngoja nisiseme
   
 20. t

  temboni77 Member

  #20
  Jun 6, 2014
  Joined: Jun 3, 2014
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hayo ni majumba ya malavidavi.
   
Loading...